Muwe mnawakubali hata single night stand!!Week inaisha hivi na thread za malalamiko ya mitongozo
Una omba ushauri au una tushauri View attachment 960121
Umri wako ni muhimu tukaufahamu ili tukushauri vizuriBut sina safar ndefu sana
Soon nitakuja kuwa mchungaji wa kkkt
Mwanamke mwelewa anataka mwanaume anayejitegemea na kujisimamia mwenyewe kwenye maamuzi;pambana fedha utapata.Mkuu ajira bado sijapata
Na father bado haja afiki swala la kunipa mtaji.