Sitojisumbua kutongoza tena.

Sitojisumbua kutongoza tena.

Angalia usijikwae ukicheka.
IMG-20180808-WA0002.jpg
 
Mkuu ajira bado sijapata
Na father bado haja afiki swala la kunipa mtaji.

Mtaji unataka kupewa na baba yako?ulijisomesha kwa ela zako?elimu aliyokupa haikusaidii kutafuta mtaji mwenyewe?
Nazani level yako ya elimu itakuwa darasa la saba!wake up kijana!
 
Habari wakuu
Nitangulize uzi huu kwa kusema..
Aisee kuna watu humu wameanza kuwa active JF kitambo sana daaa na mm nimejua siri ndogo tu uzur wa JF ni upi, lakin hao wakongwe nilio wakuta sijui tuu.. kwann wametokea kuwa active kwa muda mrefu.
Unaweza niuliza mm why sikua active sana japo nilijiunga JF kitambo tuuu.. nitakujibu

Swala la kutongoza na kukubaliwa kwangu imekua tatizo sasa imepita muda mrefu sijafanya kutongoza kabisaa
Tulio wengi najua tunatafuta mabinti wataotufaa lakin mm nimekata tamaa kabisa.

Sifa baadh za wasichana zilizokua zikinishawish kutongoza ni...
Cha kwanza napenda vipotabo na msichana awe mpole kwa kumuangalia.
Mm ni black so huwa napenda bint awe white so asiwe sura mkaa kama mm.
Pia huwa kikubwa natazama akili za bint huyo ninae amua kumtongoza awe mtulivu sio mshobokaji wala mwepesi kudanganyika.

Changamoto ni kwamba mabint wa dizyn hii wameendelea kunitolea nje hadi sasa
Walio wengi nikikaanao tuzoeane ili nitongoze vizur huishia kuniogopa sana na kuniona kama mm mjuaji sana na mtu wa mambo mengi.
Wapo walio ona siwafai kwan kwa sababu zao wenyewe za kijinga
Wapo walioshindwa kukaa na mm kama mpenzi, kwakuwa hawakutaka kabisa mahusiano ya kimapenz japo walinipenda sana sasa sijajua labda ilikua bikra kwa baadhi yao.
Na wengine waliwahiwa na wanaume wengine na mm kuishia kuwaita shemeji.. siku wakitendwa wanakuja wakilia mm nafanya kuwaliwaza tuu ndo ikawa kazi yangu.

Nipo sawa wakuu au nn tatizo kwangu? Na mm ni Baby boy.

Maelezo hayo niya kipindi kirefu sana.

By Suriya (Michael parker)
Tafuta pesa mkuu, waone wenzio
IMG_20181208_091125_761.jpeg
 
Sas nikuulizee hivi usha ona wapi mtu anatafuta mtaji bila kuomba akiwa hana chchote?
Au unataka niombe mkopo dhamana iwe mabeg yangu ya nguo?
Mtaji unataka kupewa na baba yako?ulijisomesha kwa ela zako?elimu aliyokupa haikusaidii kutafuta mtaji mwenyewe?
Nazani level yako ya elimu itakuwa darasa la saba!wake up kijana!
 
Siku ukifanikiwa kumiliki kuanzi 1M. ndio utakuwa mwisho wa kusumbuliwa na hawa watu,utapata hitaji la moyo wako na ziada......tafuta pesa acha uzembe na uzululaji
 
But sina safar ndefu sana
Soon nitakuja kuwa mchungaji wa kkkt
Siku ukifanikiwa kumiliki kuanzi 1M. ndio utakuwa mwisho wa kusumbuliwa na hawa watu,utapata hitaji la moyo wako na ziada......tafuta pesa acha uzembe na uzululaji
 
Dah hatari sana. Jamaa tafuta hela kwanza, kwa muda huu tongoza mabeki 3 ndio hadhi yako. Hao wanaotendwa wanarudi wanalialia wewe unawaliwaza wanakua wameshatumika na watu wenye hela kisha kutemwa. Maana mtu mwenye hela kama unavyomuona anabadilisha viatu na pamba kila siku ujue hata kubadili wanawake kila siku ni hivyohivyo. So my friend tafuta hela utapendwa na madem kama wote.
 
Duuuuuuuu
Hawa wanawake hawaa ni nomaa

Haahaahaaa hapana
Fanya iwe siri yako usijarbu kunidadis sanaa unaenda wrong
Duuuuu Mchungaji wa kkkt? Ww unaonyesha utakua mbwa mwitu wa kuwala kondoo,,
 
Sas nikuulizee hivi usha ona wapi mtu anatafuta mtaji bila kuomba akiwa hana chchote?
Au unataka niombe mkopo dhamana iwe mabeg yangu ya nguo?

Tafuta vibarua ujichange,vibarua kibao,kubeba zege,nenda sokoni beba mizigo ya wateja,ukonda.elimu yako mbona haikusaidii?
 
Wazo zuri
Nikuulize mkuu na wew ulipitia huko au wew ni mtoto wa tajir?
Tafuta vibarua ujichange,vibarua kibao,kubeba zege,nenda sokoni beba mizigo ya wateja,ukonda.elimu yako mbona haikusaidii?
 
Back
Top Bottom