Nilishindwa kumshauri mwamba

Nilishindwa kumshauri mwamba

harder king

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
3,968
Reaction score
6,920
Habari za wajati huu jf
Bila shaka mapambano juu ya corona yanasonga mbele huku kwa pamoja tukimuomba Mungu.

Ipo ivi.
Kuna mwana ilitokea tukawa tunaelewa ile mbaya alikua mwajiriwa wa taasisi moja mhumu tu mimi kama kawa napambana na kiosk,pia jamaa alikua na kaofisi kake nje na kazi kwa hyo baadh ya mahitaji alikua anakuja kuniunga na ndipo urafiki wetu ulipoanzia.

Sasa mimi kabla ya kumjua jamaa nilikua naruka na manzi mmoja kwa mda wa kama mwaka na ata baada ya kujuana na huyu mwamba,manzi nae alikua anafanya kazi kama ya jamaa sema vituo tofauti,siku moja jamaa kaniambia kua amechoka kuishi mweyewe na anatafuta jiko,mimi tiari nilishaoa japo jamaa kanizidi umri mm nikamwambia tuliza kichwa swala la kuoa sio la kukurupuka.

Nilikua nampa jamaa ushauri wa mambo mengi,jamaa aliniamini mpaka mambo yanayotokea kazin,nyumban kwao alikua ananiambia..
Kuna siku yule manzi kaniambia ameama kituo cha kazi na ameamia kituo cha karibu maana kule ni mbali na a mna uduma nyingi

Sasa luna siku kama kawa mwamba kafuata mahitaji kwenye mastori kanambia kuna binti anamfuatilia akimuelewa anaweka ndani mazima nikampongeza nikamwambia ila awe makini..tuliendelea na maisha ya urafiki baada ya miezi kama2 nikiwa na mshikaji alionekana mwenye furaha sana nikamuliza vp kanambia bwana ile kitu imetiki na npo kwenye arakati za mwisho za kufuta ndani.

Mwamba akavuta simu akanionyesha picha ya bint..kuja kutazama nilishtuka kuona ni yule manzi mchepuko wangu niliishiwa nguvu japo nilijikaza jamaa asigundue huku nikimwambia kama amemuelewa aweke ndani lakin mda huo nilipoteza ule uchangamufu..hyo siku tukaachana.
Hyo siku ndio niligundua kua wanawake ni viumbe hatari sana yaana nimemla siku chache zilizo pita na ata wakati nipo na mshkaji nilikua nachat nae ananimbia niende kwake nikapige mambo,..nilimsubiri ad siku alipokuja nikamle nikamchana makavu kua akae mbali na mm kabla jamaa ajajua na afute na namba zangu.

Kiunyonge alikubali na nilikuja gundua kumbe kituo alichoamia ndio kituo jamaa anafanyia kazi nikashindwa kujua kama jmaa ndio alimfanyia mpago au alijifanyia mwenyewe..urafiki wetu na jamaa ulikufa kifo cha kawaida na baada ya muda walishindwana na yule manzi wakaachana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa sio yako mkuu wala usijilaumu wala pia usimchukie mwamba au binti. Ni harakati za maisha tu kuna muda unajikuta mambo kama hayo yanatokea coincidentally.
 
Aisee ni hatari sana mkuu tena nahisi mwamba aligundua ndio akaua urafiki kimya kimya

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakukuwa na haja ya kuua urafiki sio kama labda ulikuwa unajua kuwa yupo na manzi kisha ukamtongoza manzi ake.

Ila mimi nilishaua urafiki na msela mmoja sana rafiki wa tokea utotoni kisa manzi. Kesi yake ni tofauti kabisa na yako.
 
Labda aliona nilimchora siku alipo nionyesha picha ya manzi nikashindwa mwambia namjua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama kwenye mtongozo mchepuko umeahidiwa ndoa soon as possible, we unadhani angechukua hatua gani. Tena kama ndo mimi nawapa baraka zote na kwenye kamati ya harusi nipo.
 
Kwanini ulipaniki mkuu hadi ukapoteza furaha ulivyoona picha ya dada kwa mshkaji?

Nikuulize kidogo, wewe mkeo ulimkuta na bikira mkuu? Mbona alimuacha jamaa yake akaja kwako na wewe una amani tu?
 
Habari za wajati huu jf
Bila shaka mapambano juu ya corona yanasonga mbele huku kwa pamoja tukimuomba Mungu.

Ipo ivi.
Kuna mwana ilitokea tukawa tunaelewa ile mbaya alikua mwajiriwa wa taasisi moja mhumu tu mimi kama kawa napambana na kiosk,pia jamaa alikua na kaofisi kake nje na kazi kwa hyo baadh ya mahitaji alikua anakuja kuniunga na ndipo urafiki wetu ulipoanzia.

Sasa mimi kabla ya kumjua jamaa nilikua naruka na manzi mmoja kwa mda wa kama mwaka na ata baada ya kujuana na huyu mwamba,manzi nae alikua anafanya kazi kama ya jamaa sema vituo tofauti,siku moja jamaa kaniambia kua amechoka kuishi mweyewe na anatafuta jiko,mimi tiari nilishaoa japo jamaa kanizidi umri mm nikamwambia tuliza kichwa swala la kuoa sio la kukurupuka.

Nilikua nampa jamaa ushauri wa mambo mengi,jamaa aliniamini mpaka mambo yanayotokea kazin,nyumban kwao alikua ananiambia..
Kuna siku yule manzi kaniambia ameama kituo cha kazi na ameamia kituo cha karibu maana kule ni mbali na a mna uduma nyingi

Sasa luna siku kama kawa mwamba kafuata mahitaji kwenye mastori kanambia kuna binti anamfuatilia akimuelewa anaweka ndani mazima nikampongeza nikamwambia ila awe makini..tuliendelea na maisha ya urafiki baada ya miezi kama2 nikiwa na mshikaji alionekana mwenye furaha sana nikamuliza vp kanambia bwana ile kitu imetiki na npo kwenye arakati za mwisho za kufuta ndani.

Mwamba akavuta simu akanionyesha picha ya bint..kuja kutazama nilishtuka kuona ni yule manzi mchepuko wangu niliishiwa nguvu japo nilijikaza jamaa asigundue huku nikimwambia kama amemuelewa aweke ndani lakin mda huo nilipoteza ule uchangamufu..hyo siku tukaachana.
Hyo siku ndio niligundua kua wanawake ni viumbe hatari sana yaana nimemla siku chache zilizo pita na ata wakati nipo na mshkaji nilikua nachat nae ananimbia niende kwake nikapige mambo,..nilimsubiri ad siku alipokuja nikamle nikamchana makavu kua akae mbali na mm kabla jamaa ajajua na afute na namba zangu.

Kiunyonge alikubali na nilikuja gundua kumbe kituo alichoamia ndio kituo jamaa anafanyia kazi nikashindwa kujua kama jmaa ndio alimfanyia mpago au alijifanyia mwenyewe..urafiki wetu na jamaa ulikufa kifo cha kawaida na baada ya muda walishindwana na yule manzi wakaachana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ah hayo mbona kawaida tuu mwana... Principle ni rahisi sana sema wanaume sijui tunaingiaga ujinga gani... Wa kwako ukiwa unamgegeda akishatoka nje tambua kuwa atagegedwa na wengine tuu... Sii mke, gelofrend wala sexmate.
 
Kwanini ulipaniki mkuu hadi ukapoteza furaha ulivyoona picha ya dada kwa mshkaji?

Nikuulize kidogo, wewe mkeo ulimkuta na bikira mkuu? Mbona alimuacha jamaa yake akaja kwako na wewe una amani tu?
Sio kwa sababu hyo mkuu mm nilishtuka maana aikutegemea ni yy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za wajati huu jf
Bila shaka mapambano juu ya corona yanasonga mbele huku kwa pamoja tukimuomba Mungu.

Ipo ivi.
Kuna mwana ilitokea tukawa tunaelewa ile mbaya alikua mwajiriwa wa taasisi moja mhumu tu mimi kama kawa napambana na kiosk,pia jamaa alikua na kaofisi kake nje na kazi kwa hyo baadh ya mahitaji alikua anakuja kuniunga na ndipo urafiki wetu ulipoanzia.

Sasa mimi kabla ya kumjua jamaa nilikua naruka na manzi mmoja kwa mda wa kama mwaka na ata baada ya kujuana na huyu mwamba,manzi nae alikua anafanya kazi kama ya jamaa sema vituo tofauti,siku moja jamaa kaniambia kua amechoka kuishi mweyewe na anatafuta jiko,mimi tiari nilishaoa japo jamaa kanizidi umri mm nikamwambia tuliza kichwa swala la kuoa sio la kukurupuka.

Nilikua nampa jamaa ushauri wa mambo mengi,jamaa aliniamini mpaka mambo yanayotokea kazin,nyumban kwao alikua ananiambia..
Kuna siku yule manzi kaniambia ameama kituo cha kazi na ameamia kituo cha karibu maana kule ni mbali na a mna uduma nyingi

Sasa luna siku kama kawa mwamba kafuata mahitaji kwenye mastori kanambia kuna binti anamfuatilia akimuelewa anaweka ndani mazima nikampongeza nikamwambia ila awe makini..tuliendelea na maisha ya urafiki baada ya miezi kama2 nikiwa na mshikaji alionekana mwenye furaha sana nikamuliza vp kanambia bwana ile kitu imetiki na npo kwenye arakati za mwisho za kufuta ndani.

Mwamba akavuta simu akanionyesha picha ya bint..kuja kutazama nilishtuka kuona ni yule manzi mchepuko wangu niliishiwa nguvu japo nilijikaza jamaa asigundue huku nikimwambia kama amemuelewa aweke ndani lakin mda huo nilipoteza ule uchangamufu..hyo siku tukaachana.
Hyo siku ndio niligundua kua wanawake ni viumbe hatari sana yaana nimemla siku chache zilizo pita na ata wakati nipo na mshkaji nilikua nachat nae ananimbia niende kwake nikapige mambo,..nilimsubiri ad siku alipokuja nikamle nikamchana makavu kua akae mbali na mm kabla jamaa ajajua na afute na namba zangu.

Kiunyonge alikubali na nilikuja gundua kumbe kituo alichoamia ndio kituo jamaa anafanyia kazi nikashindwa kujua kama jmaa ndio alimfanyia mpago au alijifanyia mwenyewe..urafiki wetu na jamaa ulikufa kifo cha kawaida na baada ya muda walishindwana na yule manzi wakaachana.

Sent using Jamii Forums mobile app
sioni kosa lako maana wewe ulimfanya mchepuko huku yeye anataka ndoa.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom