Sitojisumbua kutongoza tena.

Sitojisumbua kutongoza tena.

Surya

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
10,002
Reaction score
16,240
Habari wakuu
Nitangulize uzi huu kwa kusema..
Aisee kuna watu humu wameanza kuwa active JF kitambo sana daaa na mm nimejua siri ndogo tu uzur wa JF ni upi, lakin hao wakongwe nilio wakuta sijui tuu.. kwann wametokea kuwa active kwa muda mrefu.
Unaweza niuliza mm why sikua active sana japo nilijiunga JF kitambo tuuu.. nitakujibu

Swala la kutongoza na kukubaliwa kwangu imekua tatizo sasa imepita muda mrefu sijafanya kutongoza kabisaa
Tulio wengi najua tunatafuta mabinti wataotufaa lakin mm nimekata tamaa kabisa.

Sifa baadh za wasichana zilizokua zikinishawish kutongoza ni...
Cha kwanza napenda vipotabo na msichana awe mpole kwa kumuangalia.
Mm ni black so huwa napenda bint awe white so asiwe sura mkaa kama mm.
Pia huwa kikubwa natazama akili za bint huyo ninae amua kumtongoza awe mtulivu sio mshobokaji wala mwepesi kudanganyika.

Changamoto ni kwamba mabint wa dizyn hii wameendelea kunitolea nje hadi sasa
Walio wengi nikikaanao tuzoeane ili nitongoze vizur huishia kuniogopa sana na kuniona kama mm mjuaji sana na mtu wa mambo mengi.
Wapo walio ona siwafai kwan kwa sababu zao wenyewe za kijinga
Wapo walioshindwa kukaa na mm kama mpenzi, kwakuwa hawakutaka kabisa mahusiano ya kimapenz japo walinipenda sana sasa sijajua labda ilikua bikra kwa baadhi yao.
Na wengine waliwahiwa na wanaume wengine na mm kuishia kuwaita shemeji.. siku wakitendwa wanakuja wakilia mm nafanya kuwaliwaza tuu ndo ikawa kazi yangu.

Nipo sawa wakuu au nn tatizo kwangu? Na mm ni Baby boy.

Maelezo hayo niya kipindi kirefu sana.

By Suriya
 
IMG-20180808-WA0002.jpg
 
Mkuu ajira bado sijapata
Na father bado haja afiki swala la kunipa mtaji.
Pole sana.. wote tumepitia kipindi chako...
Hapo inabidi uwe mpole tu, mpaka mambo yatakapojipa... mi niliwahi kaa mwaka mzima sina demu na hata kutongoza nilikuwa nagwaya... maana hata ningekubaliwa hata hela ya lodge ilikuwa utata...
 
Week inaisha hivi na thread za malalamiko ya mitongozo
 
So, No money no love

Sasa mm kama had nipate hela ndo nipendwe huon hapo mkuu hilo sio penz la dhati kabisa na siku ziki isha tena sikuna kuachwa hapo.
wakati mm huwa napenda mazima mazima.
Pole sana.. wote tumepitia kipindi chako...
Hapo inabidi uwe mpole tu, mpaka mambo yatakapojipa... mi niliwahi kaa mwaka mzima sina demu na hata kutongoza nilikuwa nagwaya... maana hata ningekubaliwa hata hela ya lodge ilikuwa utata...
 
Wao walikua wakilalamikia mitongoz ya humu JF
Nitofaut na mm
Mm nakataliwa face to face
Week inaisha hivi na thread za malalamiko ya mitongozo
 
Back
Top Bottom