Sitoisahau siku hii.!!! Soo embarrassed

ndio mjue tunayokutana nayo kwenye daladala tunazopanda. Its not :A S new: for us wapanda daladala

Bora na wewe una idea na hizi vitu...watu wanajifanya hawataki kuamini..ukweli ndo huu
 
Kujaribu kupigana na mwanaume/mume ni kama vile kuuwasha moto, anaweza akakuulia ndani. Wewe washauri tu wenzako wakati wewe una adabu tosha kwa mumeo. Mke mwema harudishi kibao kwa mumeo.

na nani alikwambia mume mwema anapaswa kumpiga mkewe?
 
DEMBA hivi kwani hawa watoto wakishua wanabahati mbaya sana na usafiri wetu?? Manaake kila anaepanda kwa mara ya kwanza lazima ajealalamike

Nikuambie kitu..daladala nimepanda saaanaa...mwanzo mwsho..usafiri wa kugombania...nimesoma primary pale posta.(....).A level nimesoma shule ya serikali ya wasichana pale upanga(....).chuo..(..).town hiyo hiyo...so kwa basI ni mzoefu na teknik zote nazijua....mpk kugombana na konda..gari nimenunua baada ya maisha yangu binafsi kusettle..... Daud omar
 
Last edited by a moderator:
Nice Story na tunashukuru sasa members wa MMU tunajua unalo gari japo hatujui la aina gani..dada tofali

Hayo ni yako.....una lingine?..kwani gari kitu cha ajabu.???..la mkopo..la kununua...screpa yote magari..akili yako imekutuma kuwa nimekuja kuringishia gari pole sana....SAWA.??
 
Ndio maana nilisema watu wengine humu ni Kama school boys, yaani mtu kuwa na gari unaona amekuja kulingisha nakupa ushauri wa bure fanya kazi kwa bidii jitume utaweza kununua lako! Halafu utaona kawaida tu, acheni ushamba.
 

Pole sana!!
 

Ahya nimekuelewa tofali, nilijua wew ni kama walee.. ila dah! Pole sana bhana
 
Last edited by a moderator:

Mpaka kwenye gari!?? Kweli mkuu MziziMkavu anayo kazi...
 
Last edited by a moderator:
sie tunaopanda daladala mbona mambo hayo tumeyazoea?
 
Aisee tofali utakuwa unavutia sana, hadi jamaa kaamua kufanya Master's yake kwenye daladala hata bila thesis....!..
Hahahahahah..................huyo jamaa bila shaka jamaa atakua M/kiti wa CHAPUTA( Chama cha Wapiga Puli Tanzania).
 
pole mumie inabidi uwe unatumia tu gari yako usije kuleta majanga
 

Mara kuna watu walikuwa wamesimama mara wote walikuwa wamekaa! Hii story yako pitia utunge upya!
 
Hao ndo dunga dunga , sipati picha mngekuwa mmesimama wote tena mmebanana kama kwenye UDA.
 
niko tayari wakati wowote, sema tu iwe wapi na kisa kiwe ni nini ili nijiandae.
Kwani mabondia wanapigana kisa nini? Si pesa? Si hatuna beef so tukutane tuwekeane dau tuchapane ili tujue kama kweli wanaume wa siku izi lege lege kama unavyosema.
 
Pole sana Aunt Tofali, kweli we ni mvumilivu duu mwingine angepiga mayowe ya kufa mtu. Vp hukujihisi msisimko hata kidogo?
Kweli nimepanda uvumilivu wako, unaweza kuvumilia hata kwenye ndoa. Plz kama hujaolewa nipm lkn km tiyari hongera.
 
Kina dada huwa wanakutana sana na majanga. Kipindi nipo chuo ruti ya mwenge-chuo,jamaa aliwahi mpapasa dada wa watu tak*,yule dada alianzisha varangati la ajabu na abiria tukampa sapoti ya kutoa vitasa.
 
Kwani mabondia wanapigana kisa nini? Si pesa? Si hatuna beef so tukutane tuwekeane dau tuchapane ili tujue kama kweli wanaume wa siku izi lege lege kama unavyosema.

ohh kwa hiyo swala ni dau tu, mi sihitaji hata kuweka dau, ukinipiga pia nitakulipa nikikupiga sitahitaji unipe chochote kwa vile nina uhakika nitakupa kichapo tu.
mkuu lini sasa? na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…