Ndo nakuambia that is not your problem. Mwili wa kwake, kauweka wazi mwenyewe. Achana nae na ukichaa wake. Kuna wehu mjini na wanahitaji msaada. Stop feeling bad. Usiwe kama watu ambao wakiwa cheated na wenza wao ama kupigwa wanajisikia kuwa wamefanyiwa hivyo kwa sababu fulani. Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless. Amekucheat kwa sababu hana uwezo wa kukupenda na kukutamani, na hiyo ni problem yake na haikuhusu.
Hebu enjoy maisha bwana. Jitu lenyewe mkonga mbaya hata haukukuvutia, sio?
Nimeacha kuwaza..leo asubuhi nimeikumbuka after a yeae..nikaona nishare na nyie
Nimeacha kuwaza..leo asubuhi nimeikumbuka after a yeae..nikaona nishare na nyie
kiri kwamba uliupenda huo mpini...bado uko kichwani hadi leo..!!.?
Ukistaajabu ya Musa...........
Lijamaa kama hilo ndio wale kwenye daladala ukisimama mbele yake huku mmebanana kidogo anamaliza haja zake nyuma yako...
Almaarufu kama dungA dunga...
Pole sana best....
Ndo nakuambia that is not your problem. Mwili wa kwake, kauweka wazi mwenyewe. Achana nae na ukichaa wake. Kuna wehu mjini na wanahitaji msaada. Stop feeling bad. Usiwe kama watu ambao wakiwa cheated na wenza wao ama kupigwa wanajisikia kuwa wamefanyiwa hivyo kwa sababu fulani. Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless. Amekucheat kwa sababu hana uwezo wa kukupenda na kukutamani, na hiyo ni problem yake na haikuhusu.
Hebu enjoy maisha bwana. Jitu lenyewe mkonga mbaya hata haukukuvutia, sio?
Nooo sijaufagilia..wala kuupenda..mimi ninavyojua duniani km ukipatwa na tukio ambalo hukulitarajia...la kukushangaza...si rahisi kupotea akilini..ipo siku utakumbuka hilo tukio..ss mm ndo nimelikumbuka leo...wewe huna tukio.??
kwa wale wanaopenda kupiga wake/wapenzi wao siwaelewi kabisa , mi naona akikupiga na ikiwa unaweza kumwonyesha adabu unampa kichapo fresh from there on heshima itarudi. kwa nini akupige? mi swala la kupigana kwa kweli sitaki kulilea kabisa.
Pole bi tofali, lakini umejifunza nini....?
mbona kama una mix mada? Mtoa mada hajasema mbaya ila rangi ndo mbaya!Ndo nakuambia that is not your problem. Mwili wa kwake, kauweka wazi mwenyewe. Achana nae na ukichaa wake. Kuna wehu mjini na wanahitaji msaada. Stop feeling bad. Usiwe kama watu ambao wakiwa cheated na wenza wao ama kupigwa wanajisikia kuwa wamefanyiwa hivyo kwa sababu fulani. Nooo...amekupiga kwa sababu ni mwoga wa kukuface, hajui kuwasiliana na wewe and he is simply useless. Amekucheat kwa sababu hana uwezo wa kukupenda na kukutamani, na hiyo ni problem yake na haikuhusu.
Hebu enjoy maisha bwana. Jitu lenyewe mkonga mbaya hata haukukuvutia, sio?
mbona kama una mix mada? Mtoa mada hajasema mbaya ila rangi ndo mbaya!
Nway wanaume wenye tabia hizo please tupeni kule bana! kidogo Dada yetu hapa apate Orgasm, Achen Bhana! sipati picha na mngurumo wa engine plus imaginations kichwa kwa mdada!