Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 361
Wakuu sito isahau paper ya advanced mathematics 2013, ninacho kumbuka mara baada ya mtihani kuna wenzangu walikua wanalia wakuu, kuna hesabu moja ya calculating device skujua nianzie wapi niishie wapi. Matokeo yalivyo toka ilinibidi nichungulie na shule zingine wamefaurije nilikuta kumbe paper lilikua gumu shule zote, kama huamini chungulia nawewe, huwez amini fedha walipata one 23, huwezi amini Kibaha walikua na div 4, na div one zisizo zidi 25, huwezi amini mzumbe nao hola hivyo hivyo. Sasa ndio naamini kweli elimu ya advance iliishia mwaka 2013,
d mathematics 2013,

