Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 23,877
- 31,634
Mnachoshindwa kuelewa vijana wengi ni kwamba mwaka huo kilichowafelisha watu ni grading system tu .Ilikuwa C pekee tena za kuhesabika, TO alitoka Ilboru akiwa na A ya Chemia na Mathe ila C ya Physics
Mwaka huo grading zilikuwa hivi; A ilikuwa 80-100, B ilikuwa 75-79, C 65-74 , D 55-64, E 45-54, S 35 -44, F 0-34
Sasa hao waliopata C kiuhalisi ilibidi wawe na B.
