Sitatongoza tena, naanza kununua wanaojiuza

Sitatongoza tena, naanza kununua wanaojiuza

Yaani ndo kwanza siku ya 13 leo na ushakata tama!!! Hebu kua na moyo wa uvumilivu!!!
Mpe mzigo basi acha kuzingua dogo ana kiu [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Yaani ndo uzuri wenyewe.

Hata ukipata AIDS hutajua wapi umepata.

Ni ngumu kuambukizwa ukimwi na malaya kuliko mpenzi wako. Malaya anajichunga sana kupata maambukizi, kuliko mpenzi ambae atakua anagawa uchi bila ya kutumia kinga.
 
nawasalimu

Hali hii ya baridi inanifanya nizidi kujisikia mpweke.

Toka mwaka umeanza nimetongoza wasichana 11 lakini wote wamenikataa. sitaki kutongoza tena saivi naanza kununua malaya.

uzuri wa malaya Unatoa hela unakula mzigo..hupati stress za kijinga, hupigwi mizinga kila mara n.k

Nadhani kwa namna hii huu upweke wangu wa kingono utaisha.
Ujawakazia tu mbona warahid kinoona me toka mwaka uanze nishawatomba kama 5 hv
 
Acha nikuunge mkono...
UNLESS unachotaka ni LOVE, basi upo katika njia sahihi.
 
Ujawakazia tu mbona warahid kinoona me toka mwaka uanze nishawatomba kama 5 hv
Itakuwa unavaa kila nguo inayokuja mbele yako, yani hauna selection, kwako nyama ni nyama tu hata iwe ya kunguru. Au uwongo mkuu!?
 
I see nimetoka kunnunua kwa buku 14000 nimepiga wawili... Tatizo hawataki romance kabisa
aaaaaahhh uwe unachukua fulltime show...!!!au chukua namba siku ukisikia kupiga mambo unampigia mmoja anayekufaa anakufuata kwako....!!!but do it at your own risk!!!
 
Afuate utaratibu aoe, unaweza oa bila kutongoza labda kama hajajipanga
Aoe bila kutongoza yan hawajakubaliana na mhusika???
nyie wanawake wa siku hizi??
jamaa asije kudhalilika aisee....!!!!
 
Awe busy na kazi tu ataishinda tamaa
[emoji15] [emoji15] hv ugwadu unajua vile ukifika (final point?) Ni noma sana mwili mzito fikra hupungua na mambo mengine..lakini muhimu ni kutafuta njia sahihi ya kuwa poa..zaidi zaidi ukiona umelemewa inawafuata wahenga na msemo wao kuwa simba akizidiwa hata nyasi hifikili nyama(chaputa oyeeeee)
 
nawasalimu

Hali hii ya baridi inanifanya nizidi kujisikia mpweke.

Toka mwaka umeanza nimetongoza wasichana 11 lakini wote wamenikataa. sitaki kutongoza tena saivi naanza kununua malaya.

uzuri wa malaya Unatoa hela unakula mzigo..hupati stress za kijinga, hupigwi mizinga kila mara n.k

Nadhani kwa namna hii huu upweke wangu wa kingono utaisha.
Jamaa inaonekana unagundu ya kuzaliwa,

Wengine tukigusa tuhh, mtoto anakuwa hewani mpaka najishitukia kwa nini amenikubalia mapema.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom