Sitatongoza tena, naanza kununua wanaojiuza

Sitatongoza tena, naanza kununua wanaojiuza

Yaani ndo kwanza siku ya 13 leo na ushakata tama!!! Hebu kua na moyo wa uvumilivu!!!
 
Tulia tafuta mmoja uoe, ndo suluhisho la shida zako
 
nawasalimu

Hali hii ya baridi inanifanya nizidi kujisikia mpweke.

Toka mwaka umeanza nimetongoza wasichana 11 lakini wote wamenikataa. sitaki kutongoza tena saivi naanza kununua malaya.

uzuri wa malaya Unatoa hela unakula mzigo..hupati stress za kijinga, hupigwi mizinga kila mara n.k

Nadhani kwa namna hii huu upweke wangu wa kingono utaisha.
The same na magonjwa easy to Carry
 
Mkuu kaoge Maji yaliyo O'Shea bamia.. Utakua poa
 
mwanamke sio mpaka akwambie nimekubali other wise kichwa chako kina ukichaa kama cha mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom