Sitatongoza tena, naanza kununua wanaojiuza

Sitatongoza tena, naanza kununua wanaojiuza

wametusaidia sana hao!!ukiwa na 15000 unapiga fulltime hadi monie hawana gharama kubwa wala nn!! unachagua mzigo unaotaka wewe mrefu,mweusi,mwenye kizigo,mwenye zigo,flat screen,under 20,over 30 yan ww tu unaamua ule nni mi binafsi nawakubali sana.
Hongera kwa short term achieved goals.

Set your projections higher.
 
Shinda gym utafte six paks icho kitambi ndo tatizo na pesa tafta nyinginying
 
Huna mkosi wowote mkuu Mungu anakupenda bado endelea kutafuta ila usiwe na lengo la kufanya zinaa
Maana wengi tumewashudia wanakufa vibaya sana
Achana nao makahaba
 
Mungu anakuepusha na majanga then wewe bado unataka kuchuma janga lingine
 
nawasalimu

Hali hii ya baridi inanifanya nizidi kujisikia mpweke.

Toka mwaka umeanza nimetongoza wasichana 11 lakini wote wamenikataa. sitaki kutongoza tena saivi naanza kununua malaya.

uzuri wa malaya Unatoa hela unakula mzigo..hupati stress za kijinga, hupigwi mizinga kila mara n.k

Nadhani kwa namna hii huu upweke wangu wa kingono utaisha.
ukiwa hauna pesa za kuhonga kwa sasa utapata tabu mana wanawake sasa hawapendi maneno mengi ukimtumia elf 30 mwambie tukutane ndo anakuja akikubalia tongozo bila pesa akupi mzigo nachokushauri ungetafuta hata mahousegirl wanaotoka bush awakataagi ata kama huna swaga wala pesa mana kupiga changu nayo yataka moyo wa chuma mtu analala na wanaume kumi kwa siku je kwa mwezi
 
Yaani ndo uzuri wenyewe.

Hata ukipata AIDS hutajua wapi umepata.
Ujue umepata wapi au usijue maumivu ya ukimwi ni yale yale. Kwahiyo hiyo tahadhari ya kuwa na mpenzi mmoja ili ujue ukimwi umeupata wapi haina maana. Puyanga tu, ukimwi ni ajali tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom