Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

huwezi kuiongaza akili ila akili ndio itakayo kuongoza wewe subiri upate demu ambaye ataivuluga hiyo akili
 
Hata asingekuwa hivyo bado wangemsema tu, kuna watu ni kawaida yao kufuatilia maisha ya watu na kusema sana.
 
Mi naona kinachokusumbua ni uwoga wa Maisha tu. Na kama si hivyo huna uwezo kwa kuzalisha sasa unatafuta sbb toka kwa wanawake. Jitambue tu na kujiamini.
 

Mkalimani anahitajika hapa
 
Dah.,, kwanza tuwekane sawa, upo Dar au Mkoa? Hata hivyo maisha yana sehemu 4 ili yakamilike
1. Uwe na ujuzi fulani ili uweze kuwa saidia binadamu wengine.
2. Uwe na namna ya kupata kipato.
3. Uwe na mahusiano.
4. Uwe na imani/dini
[emoji4]
Hamna kaka tatizo wengi tunaishi kwa kukariri lakini kiukweli maisha ni vile wewe unavo yapangilia!
 
Dah, natumai wee ni kijana mwenzangu! Akili zako hizo utakuja juta baadae huko kwenye fainali, unaweza usioe sasa ila mtoto/ watoto lazima uanze kuwatafuta haraka iwezekanavyo kabla umri haujakutupa mkono.
 
Mi naona kinachokusumbua ni uwoga wa Maisha tu. Na kama si hivyo huna uwezo kwa kuzalisha sasa unatafuta sbb toka kwa wanawake. Jitambue tu na kujiamini.
Siogopi chochote na uwezo wa Kuzalisha ninao Kabisa ila sitaki tubishane katika hilo maana mtataka nidhibitishe na njia pekee ya kudhibitisha ni kupata mtoto kitu ambacho sipo tayari!
 
Utakuwa na stress sio bure mkuu, yaani uko radhi kulea mtoto wa mwenzio ila sio uzae wako umlee, ukifa utasahaulika haraka bora utafute mtoto ila usioe
 
you made my day hahahahahaaaaaaaaa

sasa ndugu yangu umetapika hapo juu mpaka umenifanya nicheke kweli ukiwa kwenye stress utaongea vyovyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…