Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Pamoja sana kaka maisha ni popote na maisha ni vile unavo yataka yaweee hope huku nita enjoy sana kuliko Stress za Kuoa
 
Hongera sana mkuu, Kila mara nasema kuwa hakuna umuhimu wowote wa kuoa zaidi ya kupata stresses.

Ila jitahidi upate mtoto na mwanamke yeyote tu halafu umlee mtoto na mama yake bila mkataba wowote wa kindoa.

Hongera sana.
Mkuu nacho kataa kupata mtoto ni kuwa familia wanaitaka nimuoe kabisa sasa sifanyi vyoye
 
nimekuunga mkono, mwanamke ni kiumbe asiye ridhika labda atafute mwenyewe. vya kupewa kwake siku zote havitoshi. mpk dushe haiwatoshagi
 
nimekuunga mkono, mwanamke ni kiumbe asiye ridhika labda atafute mwenyewe. vya kupewa kwake siku zote havitoshi. mpk dushe haiwatoshagi
Kweli mkuu Acha tuuu hawa watu ni pasua kichwa
 
Dah.,, kwanza tuwekane sawa, upo Dar au Mkoa? Hata hivyo maisha yana sehemu 4 ili yakamilike
1. Uwe na ujuzi fulani ili uweze kuwa saidia binadamu wengine.
2. Uwe na namna ya kupata kipato.
3. Uwe na mahusiano.
4. Uwe na imani/dini
[emoji4]
 
Sijaona kwenye dini ukilazimishwa kuoa ila unashauliwa kuoa
Hajalazimisha ila ndiyo maana wanasema kama unaweza kuzishinda tamaa za mwili basi si lazma kuoa.
 
Hahahahahaaa

Nimejikuta nawaza kwa sauti, binadamu aliyekamilika mwenye pesa kula kulala pazuri familia iko safi...... Huna mke wala mtoto wala G. Friend. .... basi dunia itakuzawadia jina......
Si bure yule kaka atakuwa gasho tuu.... wengine watasema heee yule kaka shaba. .... wengine watasema maskini. ... yule kaka anakila kitu ila si rizki.... Haya yule mtoto anayelea na kumsomesha sio wake kumchukua vituo vya kulelea mayatima. .....
Utakwepa kadhaa za mke au mpenzi ila hutokwepa za walimwengu.
Kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…