Sitathubutu kuoa wala kupata mtoto

Ungefikiria kwanza endapo kama baba yako angekuwa na akili kama yako na asingemuoa mama yako sijui leo ungekuwepo!
 
Uamuz wa busara tu si kila furaha yko ni furaha kwa mwngne,kila mtu anamaamuz yke mi mwnyw cfikirii km me au ke ndo furaha vpo zaid ya hvyo wazazi wngu na ndgu zangu kwa ujumla ni furaha tosha maishan mwngu na nainjoy kuwa karbu nao kuliko mpnz!!!!
Ni kweli ndugu mihemuko ya mapenzi ndo inatufanya kuwa na hawa watu lakini ni kujicontrol tuu hope nitaweza
 
kama hutaki kuoa unamtangazia nani? mi naona unstafuta mtu wa kujipendekeza nakukubembeleza.
 
Yalishawahi kunikuta maisha kama yako,pesa ndiyo iliyokuwa inanipa kiburi cha kuongea kama unavyoandika,nilikuwa na mlinzi,madereva wawili,mpishi aliyekuwa ananipikia,tena nilimtoa hotelini baada ya kupendezewa na chakula nilichokuwa nakula pale,mwisho wa siku niliishiwa kila kitu,nikaanza kujificha rafiki zangu wasinione,wafanyakazi walinishitaki,maana nilishindwa kuwalipa mishahara,wanawake wale wa zamani niliokuwa nawakataa nikawa nawakimbia,mwisho wa siku nilikuja kusaidiwa na mwanamke ambaye,alinipa chakula,nikawa nalala kwake,yaani nikiwa sina hata kitu,analipa kodi,ananunua chakula,ananinunulia mpaka nguo.Basi ikabidi nimuowe,maisha yangu yameludi upya kwa kushilikiana na yeye leo nina watoto wawili nawapenda sana kuliko kitu chochote kile,nina mali nyingi tu,zaidi ya zile nilizopoteza,
 


Hongera man...tuko wengi kwenye hii decision ulochagua....nikupe tu moyo kua ...na mimi pia niko kwenye mrengo huu...na kwakweli...everything is fine kabisa...asikudanganye mtu..
Mimi ni mwamaume mwenye wivu...hizi kauli "kugongewa ni kawaida" ndo kabisaaaaa..zinaniaminisha kua uamuzi wangu ni sahihi...

heri puli kuliko "kugongewa ni kawaida", welcome to the stress free world bro.

NB: ninazo forms za adoptions kwa ajili ya kupewa mtoto..(kwa sababu mimi nilishaanza hizi taratibu) ila ni gharama kidogo..andaa not less than 5M, wanasheria..survey etc.
 
Hizi mambo hazinaga formula. Walioingia wanatamani kutoka na ambao hawajaingia wanatamani kuingia kwa hiyo mambo yanajisawazisha yenyewe.
 
Kununiana na kugombana pia kuna raha yake ati!

Hapa kuna watu wa jinsia ME wataanza kukunyatia waoe
 
Kwa sis waumin tumefundishwa kuoa ni kumalisha nusu ya dini yako, ebu angalia vizur maandiko ya dini yako kaka
Kwa wakristu kuoa au kuolewa si lazma kama tu utaweza kuzishinda tamaa za mwili.
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Mkuu upo kwenye field gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…