Sitashiriki maandamano CHADEMA

Alipokufa mbwana masoud kule igunga, ni mimi nilipeleka sh laki moja na 80 elfu.zilichangwa na wanachadema wa bukoba. nyumbani kwao mburahati hakuna kiongozi aliyekuwepo wa chadema isipokuwa lwakatare aliyekwenda binafsi kuwasilisha zile hela zilizochangwa bukoba ambazo mimi ndo nilipewa kuzipeleka.
mbwana masoud alijitolea kwenda igunga kuwa wakala akitokea dar. hakuna msaada wa chadema zaidi ya 180,000.
juzi nimesikia akiorodheshwa kati ya mashujaa.
 
we zoba kweli bora hata ungefunga domo lako gaidi wewe
 
Naona unazidi kujipambanua!!
Imeandikwa, "mwana mpumbavu ni mzigo kwa mamaye"
 
Wewe msaka tonge uliyempa matatizo ya kiafya mtu aliyekuwa anakutunza hapa mjini(Rwex)sababu ya elfu 50 tu nani anakuhitaji kwenye maandamano ya wadai haki?

Tupishe bana na njaa zako
 

uende kwenye maandamano mwigulu atakupakata muda gani na baridi hili?
 
hakuna raha duniani kama mtu anatafuta ugomvi na wewe halafu huna habari nae,yaan rahaaa!
 


Mwl Ludovick si uliacha siasa inakuaje bado unaendelea na siasa unatafuta sehemu ya kutokea kugombea Ubunge!
 

matatizo ya kuanza kuliwa ukubwani wenzako huo mchezo wanauanza utotoni njaa imekuponza bwabwa!
 

hahahaha tukisema siye noma, semeni wenyewe! Leo huko bongo tayari kuna watu hawajatoka kutafuta rizik
 

Kama hakukuwa na msaada wa CHADEMA wewe ulienda kama nani?
 
Na lilaaniwe tumbo lililokubeba tumboni kwa miezi 9
 
Kwa ufahamu wangu ni kwamba, wewe ni mwana-CHADEMA wa makaratasi ambayo wala huna ubavu wa kuyaonesha getini ikiwa patatokea mjumuiko wa wana-CHADEMA ambao gate pass ni makaratasi/kadi ya uanachama! Hii si habari hata kidogo... ingekuwa ni habari kama ungesema utashiriki! Hata hivyo, kauli yoyote kati ya hizo (kushiriki au kutoshiriki) ingekuwa ni kichekesho tu!
 
maandamano ni haki yakikatiba na kama haki ya kikatiba Kwa nin polisi wazuie watu kutimiza haki yao ya kikatiba Kwa amani na kulinda katiba
 

Kwani umeombwa?!!! Taifa limefika mahala hapa sababu ya wajinga wenye mtindio kama wakwako. siku hiyo ikifika we ingia uvunguni mwa kitanda chako ujifiche virungu mkeo atakusimulia akirudi nyumbani baada ya kudai 50x50
 
Hivi kwanini mnawaza vifo tu linapotokea swala la maandamano???
 

Ile kesi yako ya kuteka na kumjeruhi Bw. Kibanda inaendeleaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…