Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,757
- 218,373
Amina .Mungu kutuletea huyu mtu huenda ana makudio yake ili 2020 tusirudie makosa.
Uiombee piaNawatakia kila la heri wenye uwezo wa kusherehekea , sina kinyongo nao .
Hali ya nchi yetu ni tete , watu wanaonewa kishamba mno , wengine wanapotea bila maelezo yoyote , wengine wanakamatwa kwa sababu dhaifu sana .
Inasemekana Bwana Yesu alikuja duniani ili kuwakomboa wanadamu , lakini mbona Tanzania dhuluma imezidi ? Ina maana watesaji hawa wamemshinda Mungu ? Si lengo langu kukufuru Mungu , lakini ni Mungu Mwenyezi aliyetupa maarifa na akili ya kuhoji na kutafakari .
Nimechagua kuitumia siku ya kesho kutafakari kuhusu hali ya nchi yetu badala ya kusherehekea .
Mungu kutuletea huyu mtu huenda ana makusudio yake ili 2020 tusirudie makosa.
Ni sisiwatanzania tutubu tuuangame makosa yetu tumezid mno kutenda dhambi wizi wakutisha sababisha ajali nyingi bararan kwa ajil ya dam kusafisha hazina umiliki wa Mali za umma kama uda escrow babu Seya Simba Trust iptl kila siku million 400. Zamani mungu aliadhibu watu wake na moto na gharika sisi kaamua kutuadhibu KWA KUMLETA HUYU NA KUMUACHA AENDELEE KUWA HAPO kama adhab na fundisho.Mungu kutuletea huyu mtu huenda ana makusudio yake ili 2020 tusirudie makosa.
ujamuelewa jamaa. Mungu kamleta jamaa kutuadhibuUna uhakika gani kwamba kaletwa na "Mungu" na sio na "Lubuva"?
Wewe ndiyo una laana kuhisi hivyo.Nahisi kama taifa limepata laana ya kihalaiki kwa kuubali kuongozwa na huyu bwana.
Hukuelewa au umeamua tu kumshambulia ?Wewe ndiyo una laana kuhisi hivyo.
Tupo pamojaNawatakia kila la heri wenye uwezo wa kusherehekea , sina kinyongo nao .
Hali ya nchi yetu ni tete , watu wanaonewa kishamba mno , wengine wanapotea bila maelezo yoyote , wengine wanakamatwa kwa sababu dhaifu sana .
Inasemekana Bwana Yesu alikuja duniani ili kuwakomboa wanadamu , lakini mbona Tanzania dhuluma imezidi ? Ina maana watesaji hawa wamemshinda Mungu ? Si lengo langu kukufuru Mungu , lakini ni Mungu Mwenyezi aliyetupa maarifa na akili ya kuhoji na kutafakari .
Nimechagua kuitumia siku ya kesho kutafakari kuhusu hali ya nchi yetu badala ya kusherehekea .
ZIMWINi sisiwatanzania tutubu tuuangame makosa yetu tumezid mno kutenda dhambi wizi wakutisha sababisha ajali nyingi bararan kwa ajil ya dam kusafisha hazina umiliki wa Mali za umma kama uda escrow babu Seya Simba Trust iptl kila siku million 400. Zamani mungu aliadhibu watu wake na moto na gharika sisi kaamua kutuadhibu KWA KUMLETA HUYU NA KUMUACHA AENDELEE KUWA HAPO kama adhab na fundisho.
Mpaka tutakapo tubu na kuungama atatuondolea hili ZIMWI