Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 116,464
- 215,285
Nawatakia kila la heri wenye uwezo wa kusherehekea , sina kinyongo nao .
Hali ya nchi yetu ni tete , watu wanaonewa kishamba mno , wengine wanapotea bila maelezo yoyote , wengine wanakamatwa kwa sababu dhaifu sana .
Inasemekana Bwana Yesu alikuja duniani ili kuwakomboa wanadamu , lakini mbona Tanzania dhuluma imezidi ? Ina maana watesaji hawa wamemshinda Mungu ? Si lengo langu kukufuru Mungu , lakini ni Mungu Mwenyezi aliyetupa maarifa na akili ya kuhoji na kutafakari .
Nimechagua kuitumia siku ya kesho kutafakari kuhusu hali ya nchi yetu badala ya kusherehekea .