sitasahau!!!

sitasahau!!!

Joined
Sep 8, 2014
Posts
39
Reaction score
6
sitasahau nilipo kuwa la7 sikumoja kabla ya mitihani kuanza nikaumwa kuendesha...;

we nae tupia yako tuone...
 
Sitasahau siku ya mahafali ya darasa la saba niliumwa kuanzia asbuh,mda wa mahafal ulipomalzka nam nkapata ahuen.dah nilihis mkono wa mtu
 
Sitasahau kuingia jukwaa la jokes nakuta thread inasema eti mtu mmoja siku ya mtihani badala ya kufanya mtihani yeye kachukua gari ya msimamizi akanza kuendesha!
 
Sitasahau siku bunge la sisiem lilivyo lazimisha wapatie nchi katiba yao ya chama
 
Sitasahau siku nilkunya mawe yakageuka mikate na kuyala yote na nikanya amira nyeusi
 
Back
Top Bottom