SITASAHAU, true story!

Mkuu mshukuru sana Mungu..
na usirudie tena kwenye mitego kama hiyo leo hii utakiona kitoto cha miaka 20 ukadhani kipo -ve kumbe ndio kina wadudu wakali kuliko hata wale wa Yebora...

Sisi vijana wakiume hua tunapita katika majaribu mazito na tunahitaji neema ya Mungu ili kutuepusha na maafa haya, nakumbuka kama Wiki mbili zilizopita ilikuwa siku ya Jumapili, nilikuwa nipo kwenye Hotel Moja hapa Stone Town hua wanapiga muziki kila siku kuanzia mida ya saa 10 jioni mpaka saa4 usiku, mimi nilikuwa nimekaa kaunta napata kinywaji pamoja na
Shisha yangu nipo na washikaji, pembeni yangu alikuwa amekaa mama mmoja anakunywa Whisky alikua ananiangalia kwa wizi wizi na mimi nikawa namwangalia hivyo hivyo baadae akasogea na kuanza kuniuliza hiyo unayovuta nini nikamwambia niShishaaina ya Kiburudisho tu sio kilevi kama Sigara au Tumbaku, akaomba kujaribu kuvuta nikampa baada ya hapo tukaanza piga story za kawaida akaomba simu yangu akajibu akawa amechukua namba yangu...

imefika mida ya kuondoka akasema atanipa lifti, nikamwambia nipo na mshikaji na tuna usafiri, akawa ananipigia tunaongea sana akasema yeye ni kimada wa mbunge na amepangishiwa nyumba na amefunguliwa maduka ya nguo pamoja na usafiri 'ipsum''
aliponitajia tu huyo
mbunge, mimi mwenyewe alarm ikawa imeshagonga kichwani.. alionyesha nia ya kunitaka lakini nikajiuliza maswali kibao nini atanipa huyu shangingi? nikaamua kumpotezea hata akipiga simu naanza kumpa shikamoo, mpaka yeye mwenyewe kapunguza spidi...

nilimpa mshikaji wangu mchapo naona anajipendekeza kwa kila hali na mambo yao yashaanza kua mazuri..
anyway nilitaka tu kutoa ushuhuda kidogo, mambo mengine zikiwemo tamaa za mwili ni za kuepukana nazo sana...

narudia tena, mkuu kama ulinisurika mara mbili, usije ukajaribu hata kwa kitoto cha under 18
 
Jamani

Bora mungu amekunusulu maana uzinzi wako ulikuwa umevuka mipaka
Na imani umempokea yesu sasa baada ya kupona kwenye janga la kidunia
 
Tunahitaji elimu ya ukimwi sana.

Mtu mwenye access ya jf Tanzania lazima awe kaelimika kiasi fulani, na ndio anafikiri ukimwi utapitia kwenye kucha????

Je yule mkulima wa visiwa vya Bezi au Tandahimba? No wonder wanafua kondom na kuazimana.
 
watu wenye kufanya ngono zembe ndio kila mara wanabadili vituo vya kupima mara temeke,mnazi mmoja ,mwananyamla na nk ili mradi tu wanatembea kizembe na kukimbilia kupima we si wa kwanza kutoka na waathirika kihasarahasara kama huyo wa arusha ulijiamin nini wakati unajua wana highrisk ya maambukizi(wahudumu wengi)sio wote nchini
 
Mungu amekuvumilia sana sasa uache ukirudia utanasa kwenye tundu bovu kijana wewe ni taifa la kesho tunakuhitaji
 
Jamani

Bora mungu amekunusulu maana uzinzi wako ulikuwa umevuka mipaka
Na imani umempokea yesu sasa baada ya kupona kwenye janga la kidunia

F1 kamega wachache mbona wawili tu sema dogo hachagui yeye anaangalia tundu tu
 
Tunahitaji elimu ya ukimwi sana. Mtu mwenye access ya jf Tanzania lazima awe kaelimika kiasi fulani, na ndio anafikiri ukimwi utapitia kwenye kucha????Je yule mkulima wa visiwa vya Bezi au Tandahimba? No wonder wanafua kondom na kuazimana.

Ila bora muoga (wakuassume the worse), kuliko anayejifanya anajua na kutake risk. Mf; kuna mtu anasema aki-come nje, hawezi pata; mwingine anadhani akikojoa mara baada ya tendo anawash away bugs; mwingine anajipa matumaini kuwa, kwa kuwa kamuaandaa mdada vizuri na kauume kake kadogo hivyo hawezi pata maambukizi!

Kwa upande wangu, bora yule anayeogopa denda kuliko mwenye maconfidence!
 
Kwa binadamu tulivyo tunajisahau mapema sitoshangaa ukijakutuambia umerudia kosa
 
nakwmabia ukweli wangu wote, hii kitu nilifanya. sema, nikikwambia alikojoa unafikiri ali squirt...yaani misuli ya uke ilibana, akaguna kidogo na akafikia mshindo...kweli kabisa jamani hii ilinitokea katika maisha yangu...jifunzeni kwangu..

Nikisoma maelezo yako btwn the lines naona kama upo kwenye transition periode na unaweza ukarudia kale kamchezo.
 
Ujana kazi but jamani hizi ndoa zetu kwa nini tunazisaliti hivi. Kwa nini kwa miezi mitatu hukuwa umekutana na mkeo? Hakuwepo au alikuwa mzazi au mlikuwa na bifu? Mvumilivu siku zote hufanikiwa!!!! Na kwa taarifa ukiingia database ya National Bureau of statistics na TACAIDS, spouses ndo wanaongoza kwa asilimia kubwa ya maambukizi!!!!! Yaani tuna wenzi halafu vijana wadogo tunawafundisha nini?
 
nakwmabia ukweli wangu wote, hii kitu nilifanya. sema, nikikwambia alikojoa unafikiri ali squirt...yaani misuli ya uke ilibana, akaguna kidogo na akafikia mshindo...kweli kabisa jamani hii ilinitokea katika maisha yangu...jifunzeni kwangu..

A devil is using you! watch out na maneno yako. yanaumba.
 
Back
Top Bottom