Sitasahau Special Thread

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Mambo vip?Wadau katika maisha tunapitia mambo mengi hivyo wakati fulani tunatakiwa kushare uzoefu ili tuweze kupata elimu kidogo.Karibuni tushare stori ambayo huwezi kusahau hapa chini:
 
Wametumwa haoo...lengo ni kutupa/kuanzisha mijadala isiyo na umuhimu, lengo tusahau mambo ya msingi.
 
Hapana wadau,kuna project naifanya so nahitaji kupata kujifunza kutoka kwa jamii
 
Back
Top Bottom