Sitasahau siku niliyonusurika kutolewa sadaka

Nakumbuka ilikuwa ni siku ya ijumaa nikitafakari namna ya kupata pesa ya matumizi pale shuleni nilipokuwa nasoma maana "pocket money"ilikuwa ishakata.
Ilikuwa ni shule ya boarding maarufu na inafanya vizuri katika matokeo ya mitihani ya taifa. Ilipofika saa kumi na mbili jioni kengele ya msosi ilikuwa inapigwa na wanafunzi kuanza kusogea bwaloni ili kupata chakula cha jioni.
Sasa wakati natoka bwenini kwenda bwaloni nikakutana na mwanafunzi mwenzangu akiwa ameongozana na jamaa nisiyemfaham na waliponifikia yule mwanafunzi mwenzagu akaniambia "kuna mgeni wako" na akamgeukia yule mgeni na kumwambia "fdizzle mwenyewe huyu hapa"
Yule mgeni akanichangamkia sana huku mimi nikiwa simjui na akniambia ana shida anaomba tuongee vizuri hivyo twende cafeteria amabayo ipo karibu na shule tukaongee vizuri.
Sasa wakati tunaenda ndipo akaanzisha mazungumzo huku tunatemebea akaniambia hivi; "Unajua bwana fdizzle kiukweli mimi sikujui ila nilipofika hapa maeneo ya shule nikajaribu kumsimamisha yule jamaa nikamtajia jina kwa kumung'unya maneno yule mwanfunzi mwenzako akauliza unamtaka fdizzle nami nikajibu ndio, na ndio maana akanleta kwako"
Binafsi mpaka kufikia hapo nkawa bado sijapata jibu ikumbukwe tupo njiani kwenda cafeteria na giza lishaanza kuingia. Kwa mbele yetu kidgogo kukawa na dada mmoja hivi mimi kwa macho yangu nikliona ni kimsichana fulani hivi.
Yule jamaa akaendelea kusema "Dhumuni kuu la kukutafuta wewe ni kwamaba kuna dili nataka tufanye, ntakupa laki mbili"
Dah kusikia laki mbili moyo ukalipuka ikumbukwe hiyo ni miaka ya 2005 hivi laki mbili ni pesa ndefu kwa mwanafunzi enzi hizo na ukizingatia hapo nilikuwa nawaza ntapata wapi ela sasa imejileta yenyewe Mungu kasikia maombi yangu. Ngoja nisiskilize hilo dili sasa.
Dili lenyewe sasa
Yule jamma huku tukiwa tunatemebea na kwa mbali yule dada akionekana akaniambia "umemuona yule dada?"(huku akinyoosha kidole kuelekea alipo yule dada. Nikamjibu "ndio"
Akaendelea "sasa yule dada ni mwanafunzi wangu namfundisha tutiion sasa anataka mtihani hivyo nimeshampanga vizuri tu na kila kitu kimmenda sawa hatua ya mwisho iliyobaki ni kama kumfanya kuwa huo mtihani tumeutolea hapa, hivyo naomba uniandalie maswali matano makali ya uchumi then unipe nitakupa laki mbili ili ionekane tumetoa mtihani hapa" (Ikumbukwe kipindi hicho mtihani wa kidato cha sita wa taifa ndio ilikuwa inakaribia ilikuwa imebaki wiki moja tu)
Moyo ulilipuka kwa woga na wasiwasi nikamwambia jamaa siwezi kuifanya hiyo kazi jamaa aknisisitizia sana mpaka anatia huruma maneno kibao nimsaidie niandike vyovyote navyoweza ili mradi tu ionekane katoa hapo maswali (hapo tulikuwa tushafika cafeteria tayari).
Nikaendelea kumkatalia ila bado alinisistiza sana na sana nikawa nataka kuondoka pale cafe teria akanitolea kitabu cha "cost accounting" akanipa niende nacho huku akinisisitiza nikamuandalie maswali matano ya uchumi nimletee.
Tukatoka pale cafeteria akiendelea kunisisitizia mbele nikamuona tena yule dada, cha ajabu akawa anaftemebea kama kutukwepa tusiwe karibu nae.
Yule jamaa akaendelea kunisisitizia ataniongezea pesa mradi niandae tu hayo maswali huku akinisisitizia tukutane nyuma ya mabweni ya shule ambapo kuna vichaka kidogo na giza giza.
Huku moyo ukiwa mzito na pia nikitamani ela sikumjibu kitu nikaenda zangu maktaba nikawaza na kuwazua "mkosi gani huu, sina ela halafu zinakuja dili za kuvunja sheria".
Yule jamaa alinipa namba zake za simu pamoja na kile kitabu cha cost accounting ili nikiwa tayari basi nimpigie tukutane huko nyuma ya mabweni anipe el animpe maswali.
Katika kutafakari kwangu nikiwa libarary huku wenzangu wakiendelea kujisomea nikkazimia kurudisha kitabu na kuachana na ma,bo haya kwani ni kinyume cha sheria za nchi.
Sasa wakat natoka maktaba nikakutana na rafiki yangu suma(sio jina halisi) akaniuliza mbona upo hivyo kulikoni?
Nikanueleza mkasa wote A to Z yule rafiki yangu akaniambia hao ni watu wa usalama sasa fanya hivi we tangulia mimi nipo nyuma nachunguza pia. Nikanjibu poa nikamtext jamaa tukutane cafe kisha nikaanza kwenda huku suma akija kwa mbali akisoma mchezo.
Nikafika mpaka cafe nikaingia na mara yule mtu akafika nae pia, tukakaa na kuanza mazungumzo mara na suma akafika nae akakaa kwa mbali akiendelea kuchunguza pia.
Nikaendelea kumkatalia na kumrudishia kitabu chake huku jamaa akiendelea kunisisitizia mwishoni akaniambia eti "twende kule nyuma ya mabweni tuzungumze vizuri" nikakmakatalia na kumwambia aachane na mimi.
Nikatoka zangu hapo huku akinisisitiza twende tukazungumze kule nyuma ya mabwen nikamkatalia. Baada ya kutoka nikarud class nikakaa kusubiri ripot ya suma.
Suma alipokuja akaniambia "fdizzle ulikuwa upo katika mtego, yule mdada uliemwona sio mdada ni mmama tu mtu mzima na kule cafeteria wakati unazungumza nae wapoo wengine walikuwa wanafuatilia na kukuchukua picha na walikuwa zaid ya watano, kwa ufupi ulikuwa kwenye mtego"
Baada ya kuambiwa hivyo nikachukua hatua ya kwenda kutoa taarifa kwa mwalimu wa zamu nae nikamueleza A to Z mwalimu akanipa hongera kwa kukwepa huo mtego na aknieleza matokeo amabyo ningekutana nayo endapo ningeandika hayo maswali.
Baada ya kutoka kwa mwalimu nilikosa hamu ya kusona hivyo kuns sehem nikaenda kukaa. Na hiyo sehem ni barabara inayotoka huko nyuma ya mabwen kuelekea sehem mbalimbali.
SIkuamini macho yangu nilipomuona yule jamaa aliekuw ananilzaimisha kuandaa maswali wakitokea huko nyuma ya mabweni wakiwa wapo kama watano pamoja na yule mwanamke na askari wawili waliovalia sare wakiwa na bunduki kabisa.
Nilipata wakati mgumu sana nikiwaza mtu yupo tayari kukuharibia future yako ili mradi tu yeye apande cheo. Na pia niliona tamaa ukiziendekeza mabaya utaishia pabaya sana. Na la mwisho niliona jamaa mbinu zao sio kwa kuwa kama ni lengo kutafuta kama kuna uvujifu wa mitihani kwa ile mbinu si sahihi kabisa.
Ni heri wangepandikiza hata mwanafunzi ili kujua kama kuna uvujifu wa mitihani kuliko mbinu ya kumlazimisha mtu aandike maswali kisha kuyatumia hayo kama kielelezo cha kuw akuna uvujifu wa mitihani.
Nimeamua kushare nanyi ili baadhi ya mabo tuwe tunajiongeza wenyewe tusiendekeze tamaa
Niwatakie Paska Njema!
yaaan ungekuwa zaidi ya sadaka ya haruni i meen sadaka ya kuteketezwa, i mean burning offering
 
Ila na wasiwasi na elimu yako bro.kwanza habar ukiunganisha kuna baadhi ya sehem ni unfit.usalama wa taifa waliongozana na polisi wawili
Ila unaonekana ni kizazi cha.com wenzio watakuw wamekuelew ila mm hapana labda siku nyingine
 
Umeamua kumpa faraja jamaa, ila kuna vitu vingi havi-addup.

  1. Shule ni ya boarding, watu wanaenda kula bwaloni. Lakini hapo hapo kuna cafeteria, kama iko nje ya shule au ndani hajaelezea, ila kama ingekuwa nje ya shule kusingekuwa na haja ya kurudi nyuma ya mabweni, biashara ingeisha huko huko.
  2. 2005 mwanafunzi wa secondary kumiliki simu, you must be special.
  3. Prep za secondary ziko library? Nachojua library za secondary usiku zinafungwa, chuoni ndiko tunaweza kupata muda wa kusomea library usiku (atleast by 2005 sidhani kama shule za secondary zilikuwa na library kwa ajili ya prep).
  4. Baada ya kumweleza Suma, Suma moja kwa moja alimwambia hao ni watu wa usalama, alijuaje?
  5. Mteja wa kununua mtihani kaja naye kutafuta huo mtihani, reasoning rahisi tu, hivi mnunuaji wa mtihani unazunguka naye aone utakaponunua?
  6. Tukio linaanza saa 12 jioni, Giza linaanza, unaenda library, then unatoka, unaenda cafeteria, unatoka halafu usiku huo unampata mwalimu kumwelezea tukio, baada ya muda unaenda kukaa sehemu unawaona wale watu wakiwa ndo wanaondoka, huyo mwalimu alikuwa wapi? Imekuchukua muda gani kumpata kiasi kwamba bado jamaa walikuwa bado wapo?
Nakujibu kama ifuatavyo;
1. Nimeamua kupunguza mlolongo wa maneno kwa kuacha vitu visivyokuwa na maan ili kwenda moja kwa moja katika mada husika. Nisingependa kuitaja shule na endapo ningeitaja ningeanzisha mada au mjadala mwingine. Kukusaidia hiyo shule miaka yote toka kuanza kwake haijawahi kutoka katika kumi bora ya kitaifa

Nakujibu hivi
1.Tambua sitoitaja hiyo shule na endapo ntafanya hivyo ntaanzisha mjadala mwingine maana asilimia kubwa ya wachangiaji wa jf ya sasa ni bendera fuata upepo na uwezo wa kuhoji ni mdogo sana. Lakini fahamu sio kila shule ya boarding ina ukuta na gate la kuingilia. Na tambua kuwa kuna baadhi ya shule za boarding wana kijiji wanaweza hata kukatiza mazingira ya shule bila tatizo kwenda na kutoka vijijini mwao. Fahamu hilo kwanza.
2. Yes nilikuwa namiliki Siemens C9 na darasani kwetu 90% ya wanafunzi walikuwa nasimu kuanzia SIemens, Motorola, Samsung, Nokia 3310 (kama unaijua) sonyericcson na aina zingine za simu kulingana na uwezo wako. Kama kipindi hicho hukuweza kumiliki simu ni wewe hatufanani uwezo.
3. Ndio maan anasema humu watu ujuaji mwingi lakini hamna kitu. Ndio shule yetu ilikuw na libarary amabapo Prep za watu wa kidato cha tano na sita zilikuwa zinafanyikia libarary na wale wa form one mpaka four ni madarasani. Kuhusu shule za sekondari kutokuwa na libarary nikuulize swali dogo tu, hivi unategemea shule amabayo inaingia kumi bora kitaifa miaka yote ikose libarary ya wanafunzi wake? Toka kuanzishwa kwake haijawahi toka kumi bora na kuhusu vitabu vipo vya kutosha mpaka vingine vinakosa wanafunzi kwa maan ya kuwa mpaka mwalimu analazimisha watu wachukue vitabu ila watu hawataki kuepuka mabo ya kutunza kitabu ukizingatia library vipo vya kutosha tu.
4. Hili nalo swali mkuu?Tunatofautian upeo kwa nini hukuuliza suma hakunishauri nichukue ela ili nae apoate japo kidogo badala yake akanishauri nirudishe kitabu huku nae akifuatilia kwa nyuma kujua ni watu wa aina gani?
5. Kwnye hili ndio ulipoonesha kuwa hujaelewa contents ya mada yangu yote. kwa ulivyoelewa wewe wale walikuwa ni wateja. Kukusaidia wale hawakuwa na nia ya mtihani ila ni watu amabao walikuja kuchunguza kama kuna uvujifu wa mitihani ila mbinu waliyotumia ndio ilikuwa sio.
6. Shule za boarding zote kuna mwalimu wa zamu anakaa ofisini mpaka saa nne usiku baada ya muda wa prepo kwisha ndio anaenda kwake. Na kama umepitia boading usingeuliza haya maswali kuhusu giza kengele ya chakula cha jioni inapigwa saa kumi na mbili na dakika 45 ndio muda huo kengele zinapigwa. Sasa kupitia hizo hatua unategemea giza litakuwa bado?
 
Ila na wasiwasi na elimu yako bro.kwanza habar ukiunganisha kuna baadhi ya sehem ni unfit.usalama wa taifa waliongozana na polisi wawili
Ila unaonekana ni kizazi cha.com wenzio watakuw wamekuelew ila mm hapana labda siku nyingine
Duh naamini wengi uelewa mdogo sana wewe mmojawapo, kuhusu wasiwasi wako juu ya elimu yangu hilo halikuhusu nachoshukuru elim yangu imenisaidia mimi na taifa kwa ujumla.
Nimeliweka tukio kama lilivyokuwa sijalazimisha mtu kulikubali.
 
Nakujibu kama ifuatavyo;
1. Nimeamua kupunguza mlolongo wa maneno kwa kuacha vitu visivyokuwa na maan ili kwenda moja kwa moja katika mada husika. Nisingependa kuitaja shule na endapo ningeitaja ningeanzisha mada au mjadala mwingine. Kukusaidia hiyo shule miaka yote toka kuanza kwake haijawahi kutoka katika kumi bora ya kitaifa

Nakujibu hivi
1.Tambua sitoitaja hiyo shule na endapo ntafanya hivyo ntaanzisha mjadala mwingine maana asilimia kubwa ya wachangiaji wa jf ya sasa ni bendera fuata upepo na uwezo wa kuhoji ni mdogo sana. Lakini fahamu sio kila shule ya boarding ina ukuta na gate la kuingilia. Na tambua kuwa kuna baadhi ya shule za boarding wana kijiji wanaweza hata kukatiza mazingira ya shule bila tatizo kwenda na kutoka vijijini mwao. Fahamu hilo kwanza.
2. Yes nilikuwa namiliki Siemens C9 na darasani kwetu 90% ya wanafunzi walikuwa nasimu kuanzia SIemens, Motorola, Samsung, Nokia 3310 (kama unaijua) sonyericcson na aina zingine za simu kulingana na uwezo wako. Kama kipindi hicho hukuweza kumiliki simu ni wewe hatufanani uwezo.
3. Ndio maan anasema humu watu ujuaji mwingi lakini hamna kitu. Ndio shule yetu ilikuw na libarary amabapo Prep za watu wa kidato cha tano na sita zilikuwa zinafanyikia libarary na wale wa form one mpaka four ni madarasani. Kuhusu shule za sekondari kutokuwa na libarary nikuulize swali dogo tu, hivi unategemea shule amabayo inaingia kumi bora kitaifa miaka yote ikose libarary ya wanafunzi wake? Toka kuanzishwa kwake haijawahi toka kumi bora na kuhusu vitabu vipo vya kutosha mpaka vingine vinakosa wanafunzi kwa maan ya kuwa mpaka mwalimu analazimisha watu wachukue vitabu ila watu hawataki kuepuka mabo ya kutunza kitabu ukizingatia library vipo vya kutosha tu.
4. Hili nalo swali mkuu?Tunatofautian upeo kwa nini hukuuliza suma hakunishauri nichukue ela ili nae apoate japo kidogo badala yake akanishauri nirudishe kitabu huku nae akifuatilia kwa nyuma kujua ni watu wa aina gani?
5. Kwnye hili ndio ulipoonesha kuwa hujaelewa contents ya mada yangu yote. kwa ulivyoelewa wewe wale walikuwa ni wateja. Kukusaidia wale hawakuwa na nia ya mtihani ila ni watu amabao walikuja kuchunguza kama kuna uvujifu wa mitihani ila mbinu waliyotumia ndio ilikuwa sio.
6. Shule za boarding zote kuna mwalimu wa zamu anakaa ofisini mpaka saa nne usiku baada ya muda wa prepo kwisha ndio anaenda kwake. Na kama umepitia boading usingeuliza haya maswali kuhusu giza kengele ya chakula cha jioni inapigwa saa kumi na mbili na dakika 45 ndio muda huo kengele zinapigwa. Sasa kupitia hizo hatua unategemea giza litakuwa bado?
Kidogo nmepata mwanga ungeandika yote ayo wala tusingeoji uli summarize sana
 
Mkuu hongera, umejitahidi kuandika ingawa bado hujanirishisha.

  1. Ilikuwa kuhusu cafeteria, iko ndani ya shule au nje? Ni umbali gani kutoka bwenini mpaka cafeteria?
  2. Kwenye simu nimesema you must be very special, seems you were. That case is closed.
  3. As long as hujaitaja shule, naomba niendelee kubaki na opinions zangu. Na naheshimu zako pia.
  4. Yes, that was the awkward thing, of all there is to think about, Suma straight akakwambia hao ni usalama! Inawezekana kama usalama walikuwa na tabia ya kuja shuleni kwenu mara kwa mara, hii nayo tuiache hivi hivi.
  5. Nimeielewa content vizuri, nilichojiuliza ni vile mtafuta mtihani anakwambia kwamba kaja na mteja wake kabisa, most likely hiyo haisound sahihi, kwa sababu mteja anatakiwa kusubiri aletewe siyo wakatafute naye.
  6. Unaweza kuielezea tena hiyo point kwa kuweka timing? Means kengele imegonga saa ngapi, nyinyi mmezunguka saa ngapi mpaka kufikia muda wa wao kuondoka? Weka tu estimates.
NB: Hii ni story tu, hata tukisema siyo ya kweli wewe haikupunguzii kitu chochote.

Kwa hiyo punguza personal attacks kwa wanao ikosoa.
 
Amesoma Kibaha Sec huyo asiwapige chenga nyingi.
 
Nitajie mkuu maana kuja hadi bwenini hapo naingiwa na wasi wasi kiufupi hii story sio yako na umeambiwa na mtu aliesomea diploma kama sikosei ya ualimu kule ndio usalama huwepo hususan kipindi cha mitihani
Wewe kusoma shule zenye sheria kali haimanishi kua shule zote zipo hivyo. Nakupa mfano tu wa shule mbili, umbwe boys na lyamungo boys zote zipo kills. Zile shule (nazan had leo) sheria hazifuatwi kivile. Kila ijumaa nilikua nalala moshi mjin afu narud j3 asbh sana, natoka bila ruhusa saw!!!

Shule hizi zipo jiran kama umbali wa km2 (,sina uhakika), nikisikia leo umbwe kuna nyama/ wali naenda kula huko msos wa usiku ikibidi nalala hukuhuko then naingia lyaboys asbh!!!

Ikitokea mshikaj wangu toka home kaja kunipa hi, halal gest bali analala hapohapo skul bwenn kwenye hvyo vtanda vya gorofa then asbh anaondoka.

Wale wazee wa kitimoto na pombe za kichaga, bangi na viroba pamoja na vibinti ilikua ni kujipangia ratiba yako tu mkutane saangapi.
Hizo ni mifano tu ila naamini kuna shule matata sana zenye wanafunz vichwangumu zaidi na
UFAULU WA KULE UPO JUU TU PAMOJA NA TABIA HIZO MBOVU.
 
Hujui kueleza story
Yaani sijaelewa hata kidogo

Wewe ukitunga Maswali 05 kisha yanapelekwa kwa mwanafunzi wa tuition...

Anyway nilisoma hii story lengo langu nikajua walitaka kukugegeda kama ni bi Dada.
 
Back
Top Bottom