Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Funzo kwa wanaume wenzangu:Wanawake wakiamua kuchunguza ni zaidi ya FBI na TISS ni cha mtoto!![emoji30][emoji30][emoji30]
Haswaaaaaaaaa kumbe wewe unatambua ...kuna mjinga mmoja nliiunganisha simu yake na yangu kwa kutumia email ....alikua kila akipiga picha kwa simu yake inaingia na kwenye simu yangu ....niligundua madudu mengi......anaingiza mwanamke ndani kwake anapiga nae picha wapo uchi inaingia kwangu....nilipoona mda wa kumstua umefika nikamtumia whatsap uchafu wake nikamsindikiza na neno sikutaki .....hakuwa na la kujitetea zaidi ya kupumua kama chatu
 
ila nyie kina dada huwa ukishaona red flag... mnangoja nini?

mwisho mnajiumiza wenyewe

Kuna kinafasi tunakuwa tumekiacha tukijiaminisha mambo yatarudi kwenye mstari....Halafu Grace hakuwa na uhakika mpaka alipokutana na mwenzake ndio akapata kujua ukweli....

Wanaume nanyi mpunguze kucheza na nafsi zetu, mkijua hapa mnapita tu...msemage mapema.
 
Haswaaaaaaaaa kumbe wewe unatambua ...kuna mjinga mmoja nliiunganisha simu yake na yangu kwa kutumia email ....alikua kila akipiga picha kwa simu yake inaingia na kwenye simu yangu ....niligundua madudu mengi......anaingiza mwanamke ndani kwake anapiga nae picha wapo uchi inaingia kwangu....nilipoona mda wa kumstua umefika nikamtumia whatsap uchafu wake nikamsindikiza na neno sikutaki .....hakuwa na la kujitetea zaidi ya kupumua kama chatu
Mamaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna kinafasi tunakuwa tumekiacha tukijiaminisha mambo yatarudi kwenye mstari....Halafu Grace hakuwa na uhakika mpaka alipokutana na mwenzake ndio akapata kujua ukweli....

Wanaume nanyi mpunguze kucheza na nafsi zetu, mkijua hapa mnapita tu...msemage mapema.
Nikikuambia utanipa kweli?

labda na nyie mwanzishe utaratibu nikikuambia napita usininyime.

hapa mkifanya hivyo tutaenda sawa.
 
Wanawake huwa hawapendi ukweli wanapenda kudanganywa sana akimwona mtu Mwenye maneno ya ukweli lzm amtamkie tena mabaya

Tunza maneno kuna wakati ujao ambao hauujui
 
Mamaeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ilikua kiboko hiyo ......tena nlikua na moyo wa imani wakipiga picha me naziangaliaaaa ...navunga tu hahahahahahaha hakuamini siku nlomtumia na hakujua nimezipata wapi....kwa kumkomesha nikafuta picha zote kwenye simu yake coz na uwezo wa kuiendesha simu yake. Akipiga me nafuta mpk alirestore simu
 
Back
Top Bottom