Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Hiyo ilikua kiboko hiyo ......tena nlikua na moyo wa imani wakipiga picha me naziangaliaaaa ...navunga tu hahahahahahaha hakuamini siku nlomtumia na hakujua nimezipata wapi....kwa kumkomesha nikafuta picha zote kwenye simu yake coz na uwezo wa kuiendesha simu yake. Akipiga me nafuta mpk alirestore simu
Hatushindwiiiiiiiiiiiii(in shilawadu voice)[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitu kilichonishinda ktk mapenzi ni kupigiana pigiana simu. Yaani kama kipimo cha mapenzi ni kupigiana simu mara kwa mara basi mimi si mpendaji
Kuna wanaotaka... ukiamka umjulishe.. ukienda kazini ajue...kula ajue... kurudi ajue...kulala upige tena masaa mawili.

na usipofanya hivyo utaulizwa kulikoni leo ulikuwa na nani. mwenyewe siwezi.
 
Kuna wanaotaka... ukiamka umjulishe.. ukienda kazini ajue...kula ajue... kurudi ajue...kulala upige tena masaa mawili.

na usipofanya hivyo utaulizwa kulikoni leo ulikuwa na nani. mwenyewe siwezi.
Kama ni hivyo let watu call me "si mpendaji", kupiga simu mara kwa mara siwezi. I 'm man! Baaasi
 
Tatizo wanawake wanatamani awe peke yake na akili yake anaiweka yuko pekee

Hujui kuwa mwanaume ni mwanaume na kama mwanaume hatoki lzm uwe na mashaka naye

Ujanja ni kuwahi ili uwe mke mwengine utaumia tu
 
Pole sasa Dada angu, shida ya wanawake wengi mnapenda kudanganywa na jamaa wengi waongo wana wawin sana.
 
Pole sana bidada Wanawake bhana mkisha skia mwanaume yupo nje ya nchi basi mnadata..

Nataka kujua huyo msichana alienda kuitoa mimba?
 
Back
Top Bottom