Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Duuh. Ukisema umekutana na mitihani, ujue kuna wengine eamekutana na migumu kuliko wewe. Pole sana, yote ni maisha
 
Pole sana bidada Wanawake bhana mkisha skia mwanaume yupo nje ya nchi basi mnadata..

Nataka kujua huyo msichana alienda kuitoa mimba?
Wakati ananitongoza Na kumkubalia Si kujua kama anasoma nje.Ilikuwa hapahapa nchini .
 
Pole sana my dear, Mungu akupe haja ya moyo wako tena shukuru Mungu umelitambua mapema, ungekuja sikia kaoa
tayari ungeumia zaidi, piga moyo konde songambele, riziki yako kama ipo itakuja tu haijalishi imechelewa nakupa pole tena
 
Mwache aende, mshukuru mungu kwa hili
 
Aksante.
Kweli why MTU anakuwa Na roho kama hili why anaamua kumpotezea MTU muda wake??
Ili baadaye iweje.
Je hajui kama angefanyiwa yeye angeumia .Inasikitisha sana.
Weeee Ungefanya wewe matusi yote ya duniani ungeyaoga
 
Jamaniiiiiii!
Pole sana mwaya,yamekukuta mazito kumbe ndio maana ulitaka kujiua!

Ila jamani kwani haiwezekani watu kuachana kwa amani? Yanini kusema madhaifu ya wengine kiasi hicho?

Halafu huyo nae alikuwa na roho ya kimasikini sana,hadi chips alizokununulia anasema? Khaaaaaaa
Huyu mchumba alijulikana mpaka kazini likizo hii nikaomba Ili kwenda kutambulishwa. Boss wangu ni wa kike.Nakumbuka alitoka ofisini akipiga vigeregere vya furaha ndoto ya mfanya kazi wake inatimia ya muda mrefu.Mana y alikuwa maswali yake muhimu kwangu.
Mwanangu lini mkwe?? Namwonesha picha tu kwamba yupo anasoma, yupo anasoma.
Kwa yeyote aliyetokewa Na mkasa kama wangu anaelewa ni kama nusu ya maisha yangu ilikuwa kwake.
Na naumia sana nikikumbuka maisha yangu ya nyuma.
Nilipofiwa Na wazazi wote wawili nikiwa ndogo sana.( walikufa wote siku 1 kwa ajali ya Gari)
Sasa maisha bila wao hayakuwa rahisi mpaka kufika chuo kikuu ilikuwa kudra za Mungu.
Pamoja Na changamoto nyingi hatimae nikampata huyu.Nikamwita Baba akaniita Mama.
But see how it became...... I cried, cried every single Day.
Dear Lord!Have mercy!
 
Na chakufanya na cha muhimu tulia kabisa usianzishe mahusiano mengine mapema chukua muda wakutosha mpaka ajeraha yapone
usije angukia dampo jingine utakunywa sumu kabisa tulia hata kama mtu atakuja anakupenda mwambie akupe muda kwanza
 
Back
Top Bottom