Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Jamaniiiiiii!
Pole sana mwaya,yamekukuta mazito kumbe ndio maana ulitaka kujiua!

Ila jamani kwani haiwezekani watu kuachana kwa amani? Yanini kusema madhaifu ya wengine kiasi hicho?

Halafu huyo nae alikuwa na roho ya kimasikini sana,hadi chips alizokununulia anasema? Khaaaaaaa
Aksante sana Nifah.Dunia INA mambo mengi sana.Naamini yatapita.
 
Pole sana ndo maana nawaambiaga wanawake wenzangu msithubutu kujitia kiherehere cha kupenda penda....habari ya kupendana iliishia miaka ya tisini huko ...sa hivi mtu akikwambia nakupenda mwambie nakupenda pia basi habari iishie kwenye maneno sio mpaka kwenye nafsi mtakufa bureeeee.....kwangu Mimi hapendwi mtu moyo ulishakufaga ganzi kitaaaambo ....

Pole sana mpenzi mungu akutie nguvu tu
 
Duh Mimi mkewangu ilikuwa kelele tutaoana lini mpaka nikampiga chini. Maana nilikuwa sijajipanga baadae ndio ni kamchukua ila alikuwa mpole na akajua na mpenda kweli. Wanawake eneo hilo linawapa tabu sana napia sisi vidume niwaongo sana. Niliwahi kuulizwa na wanawake kama watatu hivi uhusiano utazaa ndoa? Nimekuwa ni kiwaeleza ukweli kwamba hapa tunakula maisha ukipata mtu olewa huo ndio uugwana
 
gracemwakilasa,

hakuna kitu kibaya kama mapenzi ya rula.kwa nini ile nafasi mlizo peana ndizo zina tumika fursa za hayo uliyo yapata
 
Ulivyosema moyo umekufa gaanzii hahhaa kuna mtu nilikuwa nacheka nae hapa nae kasema kama ww...ah jamanii mambo si mambo,..
Hahahahahahaha wewe me nshakutana na visanga vya ajabuajabu nusu nijiue....nilikua nalia asubuhi mchana na jioni kama nimefiwa ...kumbe mapenzi ...acheni tu haya mambo siitaki habari ya kumpenda MTU Mimi ......
 
Hahahahahahaha wewe me nshakutana na visanga vya ajabuajabu nusu nijiue....nilikua nalia asubuhi mchana na jioni kama nimefiwa ...kumbe mapenzi ...acheni tu haya mambo siitaki habari ya kumpenda MTU Mimi ......
Pole shogaangu,..me nishajifunza kitu ukiwa real mahusiano hukai nayo sawa ila ukiwa opposite naona hayakupi tabu kabisaa...sasa sijui ni bora kuwa fekelo tuu,.au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom