Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

Pole sana ndo maana nawaambiaga wanawake wenzangu msithubutu kujitia kiherehere cha kupenda penda....habari ya kupendana iliishia miaka ya tisini huko ...sa hivi mtu akikwambia nakupenda mwambie nakupenda pia basi habari iishie kwenye maneno sio mpaka kwenye nafsi mtakufa bureeeee.....kwangu Mimi hapendwi mtu moyo ulishakufaga ganzi kitaaaambo ....

Pole sana mpenzi mungu akutie nguvu tu
Eti kiherehere woiiii ebu uko [emoji3][emoji3]
 
Hahahahahahaha wewe me nshakutana na visanga vya ajabuajabu nusu nijiue....nilikua nalia asubuhi mchana na jioni kama nimefiwa ...kumbe mapenzi ...acheni tu haya mambo siitaki habari ya kumpenda MTU Mimi ......
Unahitaji msaada wa kisaikolojia, hauko sawa dada yangu japo unajitahidi kuharalisha hiyo hali. Huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine na kuna wataalam wanaoweza kukusaidia.
 
So kwani ndio vizur akili ziwakae maana wanawake wengi mnajua Julia mkitendewa wakati nyie ndio watu. Wanaoliza wanaume sana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91] nimesubiria picha kimya mfyuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lazima unielewe nyau wangu...ni hiviii [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]woozerrr
 
Unahitaji msaada wa kisaikolojia, hauko sawa dada yangu japo unajitahidi kuharalisha hiyo hali. Huo ni ugonjwa kama magonjwa mengine na kuna wataalam wanaoweza kukusaidia.
Hahahahahahaha
 
Back
Top Bottom