Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Sitaruhusu mke wangu kumiliki smartphone...

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
27,640
Reaction score
65,114
Smartphone inawafanya wadada kuwa wendawazimu, kuenenda kama nyumbu (kuigana) na kufanya vitu vilivyo chini ya umri wao.

Mdada ana mume wake na amebahatika kuzalishwa watoto 0, 1, 2, 3, ...anaanzaje kutupia selfie kwenye social network? Lengo lakevnn hasa? Anauza sura yake kwa wakware walioko social networks. Si ndiyo hivyo?

Sasa dawa ni hii: nitanunua compyuta moja itakaa nyumbani ambayo ndiyo tutatumia kuchat na watu kwenye social networks mida ya jioni baada ya kazi. Tutatumia password inayofahamika na wote 2, iwe Facebook, WhatsApp, badoo, Instagram, LinkedIn, Snapchat, n.k kote huko tunaingia wote.

Imebainika kwamba siku hizi wake za watu hutongozwa hata mbele ya waume zao kupitia mitandao ya kijamii. Utaona tu mkeo anaguna kuashiria cheko fupi, ukiuliza atakuonyesha video fupi ya Kansiime, kumbe anakupoteza maboya. Kishatongozwa tayari.

Kuna wazembe wanaziruhusu smartphones hata kitandani, na kupelekea wake zao kutongozwa wakiwa kitandani. Kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini.

Mke wangu hatakuja kutumia smartphone, itakuwa mwendo wa Nokia tochi tu. Mitandao ya kijamii ni nyumbani tukiwa naye sebuleni kwenye kompyuta moja.

3425b9cce677d2aa421c85cc751bc55d.jpg
 
Smartphone atumie tu, kwahiyo ukimkuta ameshaanza kutumia smartfone umnyang'anye? Si ajabu ulimpata kwa kutumia smart foni hiyo hiyo, cha msingi ni kuweka mpaka juu ya matumizi ya simu mko naye kitandani anachati na nani?? Kumbuka huwezi kumchunga ukafanikiwa, suala la kujichunga ajichunge mwenyewe tuu ukigundua anagawa nje mpige chini bado hajajitambua huyo
 
Mbona kuchepuka kulikuwepo tangu zamani, mke hachungwi km humridhishi na unamsumbua yeye kuliwa kupo nje nje haijalishi ana smartphone au la!
 
Zamani kulikuwa hamna smart phones na bado walichepuka na kuzaa nje ya ndoa.. Tabia haina dawa ataenda kanisani, sokoni kazini kooote huko kuna wanaume akiamua kuchepuka anachepuka tuu... We muombe Mungu akupe mke wa kufanana nawe mkuu
 
Back
Top Bottom