Sitamuamini tena Rais wangu, kwa hili kaniangusha

Makontena mengi kila mmoja anajua yalivyopotea.

Akawapa siku saba wahujumu,wachache wakalipa 10bl ndani ya cku tatu.

Leo kawasamehe!! Kweli!

Nimeumia sana.kodi zetu na mali zetu.yeye alisema hatacheka nao na wala hawakumdhamini kwenye kampeni sasa anatoa msamaha! This may be more than comedy.

Kweli mfumo ndo kila kitu si mtu mmoja.
Mnafungua lini shule?
 
Kuiongoza nchi inayoitwa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania ni raha sana.
 
Makontena mengi kila mmoja anajua yalivyopotea.

Akawapa siku saba wahujumu,wachache wakalipa 10bl ndani ya cku tatu.

Leo kawasamehe!! Kweli!

Nimeumia sana.kodi zetu na mali zetu.yeye alisema hatacheka nao na wala hawakumdhamini kwenye kampeni sasa anatoa msamaha! This may be more than comedy.

Kweli mfumo ndo kila kitu si mtu mmoja.
Tatizo niuelewa wako mdogo ndio unaokusumbua
 
Makontena mengi kila mmoja anajua yalivyopotea.

Akawapa siku saba wahujumu,wachache wakalipa 10bl ndani ya cku tatu.

Leo kawasamehe!! Kweli!

Nimeumia sana.kodi zetu na mali zetu.yeye alisema hatacheka nao na wala hawakumdhamini kwenye kampeni sasa anatoa msamaha! This may be more than comedy.

Kweli mfumo ndo kila kitu si mtu mmoja.

Sasa ulitaka yule aliyejikuta akiongea bila kuulizwa akaulizwe kwanini uliruhusu makontena yakaondoka bila kodi??unadhani kikao cha dharula cha CCM kilikuwa chanini kuna watu salikuwa aamekamatwa pumb!
 
Wewe huelewi uchumi wala siasa. Rais aliwambia wakilipa ndani ya siku 7 hawatashitakiwa. Sasa wale waliolipa 10bn hamna kesi na wako huru. Hivyo wataagiza bidhaa nyingine na tunaendelea kupata kodi.wangefungwa tungekosa mapato na wengine wangelikimbia nchi. Sasa mfumo wa biashara utaimarika kwa walipa kodi wote kufuata sheria na mapato yataongezeka.

Je uliambiwa waliolipa na ambao hawajalipa ni akina nani? Na siku saba ziliisha lini kwa ambao hawajalipa? Na rais amesema nini kwa ambao hawajalipa?
 
Back
Top Bottom