Nitajibu hapo kwenye picha[emoji848]Enzi za Jakaya Mrisho Kikwete weekend kama hii.
Muda kama huu unakuta upo zako nyumbani. Ghafla jamaa anakupigia simu. [emoji848]
"Kaka upo wapi? njoo Maisha club, beib yangu imekuja na wenzie wawili wa chuo. Watoto wasafi kama sarafu inayotoka mlango wa bank. Toto inanukia safi hiyo asikuambie mtu.![emoji23] Nina kama laki nne na unusu ya kutumia tu usiku wa leo. Ngoja nikutumie usafiri kaka. Ukuje chaap!"
[emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594]
Waliokuwa wakitoa ofa hizo enzi za JK. Leo wakinipigia simu muda kama huu utasikia.
"KAKA USILALE BILA KUSALI."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1164567
Aanze kinyume na huu mpangilio wako atakua rahisi kuwa na uwezo wa kuzunguka round zaidi ya moja kwa mpangilio huo-huoNitajibu hapo kwenye picha
Anza nyama, piga Heineken alafu malizia na chuchu sounds
usipokaza buti utakaza supra.[emoji848]Enzi za Jakaya Mrisho Kikwete weekend kama hii.
Muda kama huu unakuta upo zako nyumbani. Ghafla jamaa anakupigia simu. [emoji848]
"Kaka upo wapi? njoo Maisha club, beib yangu imekuja na wenzie wawili wa chuo. Watoto wasafi kama sarafu inayotoka mlango wa bank. Toto inanukia safi hiyo asikuambie mtu.![emoji23] Nina kama laki nne na unusu ya kutumia tu usiku wa leo. Ngoja nikutumie usafiri kaka. Ukuje chaap!"
[emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594][emoji594]
Waliokuwa wakitoa ofa hizo enzi za JK. Leo wakinipigia simu muda kama huu utasikia.
"KAKA USILALE BILA KUSALI."
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1164567
Alihamdulillah umeimarika my dearTunasimama na Mzee Kilomoni