christelly
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,462
- 1,467
Na kwa akili zenu za kipimbi 2019 mtasahaulishwa maana mambo mengi yatakuwa bwereree ,hivyo kupelekea akili zenu ambazo hata KUKU ananafuu mtasahau mateso yote na kuchagua kitu kilekile.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila Magufuri anachotutendea
Hatukutegemea kabisa.
Asanten.