mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,564
- 2,942
Sitamchagua tena Magufuli japokuwa nilimchagua 2015,sababu
1-ameleta uoga makazini kwa kusimamisha watu na kufukuza watu kazi hovyo pasipo kufuata utaratibu
2-ameshindwa kuongeza mshahara kwa watumishi licha ya kuwa ni takwa kisheria.
3- ameshindwa kuajiri sambamba na kuzalisha ajira nyingine Nje ya serikali na kuleta maafa kwa familia masikini
4-amesababisha kushuka kwa mauzo kwa wafanyabiashara baada kuintroduce sera mbovu za uchumi zilizoleta maafa kwa watanzania,(ikiwemo kuhifadhi fedha za uma BOT)
5- Ameshindwa kuchochea uchumi kwa kuwalipa wakandarasi wa ndani matokeo yake makampuni na biashara nyingi zimefeli na kufa.
6- ameshindwa kuwa na kauli za kutia moyo kwa wananchi wake wanapopata matatizo ,badala yake amegeuka kuwasimanga.
7-serikali yake imeshiriki kuvunja nyumba za walalahoi masikini maeneo mengi pasipo kwanza kuandaa mpango mbagala( jangwani)
8-ameshindwa kabisa kuheshimu katiba na kuchekelea wateule wake wakivunja katiba.
9-ameshindwa kuwapa mikopo wanafunzi wengi wa masikini utofauti na watsngulizi wake.