Njoo nikuoe my lady.
Nitatembea na ndugu zako wote. Mahaus geli wote nitawapitia.
Ujue sista nami naongea kwa experience kama wewe, ila sijasema kuwa matatizo ni ya wanawake (hapo kwa red panahusika), sijasema nyie ndo mna matatizo na wala sijasema wanaume hawana matatizo. Kwa taarifa yako wanaume problematic ndo wengi kuliko watulivu. Hawa wa watulivu ni wa kumulika na tochi kama walivyo wife material.
My point is because you are the one who receives applications na scrutize them, then you stand a good chance of coming up with be best out of those applications, so you can avoid bad guys and common problems related to relatioships.
Hapana hebu kumbuka mwanamke pekee ndio atakiwa kuwa mcha Mungu, (according to you), maana ndio wanaofanya choices, nyie si mnabeba tu ilimradi kakuvutia mvuto wa nje.
Wengi tumeaminishwa na kuamini kuwa kuna "wadhambi na watakatifu" miongoni mwetu. Hili ndio chanzo cha wengi kuumia ktk mahusiano. Aminini nawaambia kwa hulka zetu sisi waafrika ni wanafiki, bila kuacha unafiki mahusiano yatabaki kuwa "Ziwa liwakalo moto"
Wenzetu weupe ni wazazi, anapoona mwenzake kaanguka hukaa pamoja na kujitathimini, si ni mwili mmoja. Wakiona mambo yanajirudi huamua kuachana tena kwa vifijo na ndelemo.
Kwa kumtelekeza mumeo umejiweka upande wa watakatifu. Huyo ni mumeo, mpaka akatembee na HG na mtoto wake na wewe upo hapo pasina kujua basi kuna upande na wewe hukutimiza wajibu wako.
Duh, aisee I can imagine unavyoumia sista atoto
Sina cha kusema zaidi, nadhani unaweza kukumbuka kile kigezo cha ucha Mungu tulichokuwa tunajadili siku ile na 'mfanyakazi wako' Heaven Sent, pia nikahusisha na maneno ya kwenye signature yangu.
Otherwise ni wanaume wachache sana, tena sana wanaweza kushinda dhambi ya uzinzi
Hapana hebu kumbuka mwanamke pekee ndio atakiwa kuwa mcha Mungu, (according to you), maana ndio wanaofanya choices, nyie si mnabeba tu ilimradi kakuvutia mvuto wa nje.
We sista sasa nakupiga bana!! mbona hunielewi hivyo??!! wapi nimesema mwanamke pekee ndo anatakiwa kuwa mcha Mungu? Halafu hii ishu ya kuchagua mwenye hofu ya Mungu tuliijadili sana siku ile tukaenda sawa, leo naona kama unachanganya madesa.
Haya mi nakupa mfano wangu sasa. Mimi kwa sababu ya majukumu ya kazi sikai na wifi yako for like 4 to 8 months kila mwaka. Lakini sichepukagi kwa sababu ni dhambi kwa imani yangu, so namuogopa Mungu na siyo wifi yako, coz najua wifi yako naweza kumficha kirahisi na asijue miaka nenda rudi uje. Lakini naamini Mungu ananiona po pote pale nilipo. So you can see point yangu ya kutochepuka ni hofu ya Mungu and not otherwise.
Nilikwambiaga bila hofu ya Mungu there is no way mwanaume rijali, mwenye uchumi wake atashinda tamaa za ngono. Kwa taarifa yako mwanaume akikuta dadake yake uchi sehemu ya falagha halafu akahakikishiwa kuwa huyo dadake hawezi kujua kwa lolote atakalomfanyia, atamtia!! Hii ilishawahi kuwekwa humu kuelezea jinsi gani sex ilivyo priority kwa wanaume. Spidi gavana pekee ya mwanaume ni kuwa na roho wa mungu baaasi, hayo mengine geresha tu!!
Haya usinichokonoe tena, kama hadi hapo bado hujaelewa basi mwambie Heaven Sent akufafanulie zaidi, manake nimeongea hadi ambavyo sijawahi weka hadharani!!
Hahhahaha kumbe mito ni hubby material. Sielewi kwa nini anawatetea wenzie kuwa hawana choices. Ingekuwa hana hofu ya Mungu, kukaa mbali na mkewe kwa few months tu ingekuwa justification ya kucheat.Nimemchokonoa mito hadi kafunguka, anataka na kunichapa sasa!! Hahahaaaa my kaka ukinipiga nakusemea kwa mama naye atakupiga.
habari zenu, polen na majukum pamoja na pilika za siasa. Mimi ni mama mwenye mume na familia kiumri ni miaka 38. Ni mfatiliaj mzuri wa habari za huku leo nami nineona niwape ya kwangu. Kifupi nimechoshwa na mapenzi, sitamani mapenzi, nimekinai sitaki hata kusikia habari zake. Mbaya zaidi siku zinavozidi kwenda sitaki hata kuhudhuria harusi au ndoa. Nikiona tukio hilo huwa linanitesa sana. Na hii ni baada ya kuona ndoa nyingi hazina aman, wanandoa wengi wanaishi maisha yasio na aman. Nilibahatika kuchaguliwa nafasi ya malezi kanisan,ambapo ndoa nyingi zilizokuwa zikija kuleta malalamiko kanisan nikitwa na mch kutoa ushauri. Kwakweli nilikua naumia sana. Sikutaman hayo yanikute nilijua iwapo yatanitokea yatanitesa sana. Sasa yamenikuta na yananitesa sana, nashindwa kujishauri japi kwa wengine nilifanikiwa kias fulan. Ama kweli mganga hajigangi. Kupitia kusikiliza ndoa nyingi zenye maumivu nilijitahidi sana kutimiza wajibu wangu km mama, nilimpenda mume wangu, nilimjali sana, mara nyingi nilimsisitiza awe mwaminifu nami nilijitahi pia kuwa mwaminifu.... mume wangu si mlevi wa pombe ila ana kaulevi kake. Jaman sikuamin kilichotokea.Alitembea na mtoto wa kaka angu bila mimi kujua akatembea na hg na kumpa mimba. Siku niliyomfuma hg. Akakiri na kuniambia hata mtoto wa kaka angu ametembea na baba ndio mana walikua hawapendani. House g. Alirudi kwao na amejifungua. Mtt wa kaka nae alirudi kwa mama ake nilimchukua baada ya baba ake kufariki. Ni zaid ya miez sita inepita nashindwa kumsamehe huyu mume, simtaman kabisa. Nipo kwa kulea watoto ila ameniumiza sana. Sitaki kabisa kushiriki nae tendo la ndoa silitaman kabisa. Mara nyingi nilisikia taarifa mbaya za mume wangu nilipuuza hata nilipojaribu kumuuliza alikua mkali sana. Baada ya fumaniz hili yote niliowahi kusikia kumbe yalikua yana ukweli kabisa. Nimeumia sana, sana. Nimemwambia na kumpa uhuru andelee tu na wao anaona wanamfaa mimi tena basi. Yaan ndoa hizi zina mambo. Polen wanandoa wote mnaopita ktk kipind kigum. Mwenzenu nimeinua mikono. Sijui kwanini ndoa badala ziwe na amani zinakua jehanam ya dunia. Mh!!!
Hahhahaha hii ni "ebola ya wanaume. Kazi tunayooo
Nimemchokonoa mito hadi kafunguka, anataka na kunichapa sasa!! Hahahaaaa my kaka ukinipiga nakusemea kwa mama naye atakupiga.
Hahhahaha kumbe mito ni hubby material. Sielewi kwa nini anawatetea wenzie kuwa hawana choices. Ingekuwa hana hofu ya Mungu, kukaa mbali na mkewe kwa few months tu ingekuwa justification ya kucheat.