Muhimu, wazingatie hiliwafanya biashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi
"Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50" Mwisho wa kunukuu.Habari wana jf naomba tuwe makini na hili
Hapa home kuna ng'ombe kama 25 hivi sasa siku moja ng'ombe mmoja akaumwa kwa siku kama mbili hivi
Tunajitahidi kumpa dawa kwa kadri ya uwezo wetu lakini kwa bahati mbaya akafa
Lakini wakati anaumwa tukawaita kabila jamii ya wafugaji (wamasai) waje kutusaidia baadhi ya dawa ili apone
Baada ya yule ng'ombe kufa zukamjulisha yule mmasai kwamba yule ng'ombe amekufa na tukaenda kumltupa porini
Kutokana na maelezo ya dawa ng'ombe yule nyama yake iliwe siku 14 baada ya kudungwa sindano
Kisanga kikaanza yule mmasai bwana akapiga simu anauliza mara kumi kumi kama yule ng'ombe ni kweli hatumtaki na tushamtupa
Baada ya kumjibu akatuma vijana wawili wakatuambia tuwapeleke wakamchune kwan kuna mtu anataka ile nyama kwa laki 2 ng'ombe wote
Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50 wakaileta home wenyewe wameenda kuiuza kwenye baa moja maarufu sana ambayo watu wengi huenda kunywa supu hapo na nyama choma
Enyi wafanya biashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi
Labda alijua anampelekea dogiii"Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50" Mwisho wa kunukuu.
NDG, ULITEGEMEA FEDHA YA SODA KUWA RECOVERY VIPI?
Habari wana JF naomba tuwe makini na hili
Hapa home kuna ng'ombe kama 25 hivi sasa siku moja ng'ombe mmoja akaumwa kwa siku kama mbili hivi
Tunajitahidi kumpa dawa kwa kadri ya uwezo wetu lakini kwa bahati mbaya akafa
Lakini wakati anaumwa tukawaita kabila jamii ya wafugaji (wamasai) waje kutusaidia baadhi ya dawa ili apone
Baada ya yule ng'ombe kufa zIkamjulisha yule mmasai kwamba yule ng'ombe amekufa na tukaenda kumtupa porini
Kutokana na maelezo ya dawa ng'ombe yule nyama yake iliwe siku 14 baada ya kudungwa sindano
Kisanga kikaanza yule mmasai bwana akapiga simu anauliza mara kumi kumi kama yule ng'ombe ni kweli hatumtaki na tushamtupa
Baada ya kumjibu akatuma vijana wawili wakatuambia tuwapeleke wakamchune kwan kuna mtu anataka ile nyama kwa laki 2 ng'ombe wote
Tukawapeleka wakachuna wakauza na hela ya soda elfu 50 wakaileta home wenyewe wameenda kuiuza kwenye baa moja maarufu sana ambayo watu wengi huenda kunywa supu hapo na nyama choma
Enyi wafanyabiashara wenzangu tuwe na huruma na maisha ya watu pesa zinaisha ila uhai wa mtu ukienda haurudi
Wangefukua tuKwa uelewa wangu ktk nyanja ya ufugaji Mfugo yoyote akifa ni lazima afukiwe, hapo wenye kosa kwakweli ni nyinyi ambao mlipashwa kumfukia vini vyema. Kuna baadhi ya magonjwa ukifukia unamwagia na dawa au unawateketeza kwa moto kabisa, maana baadhi yanawaambukiza wanadamu na nihatatarishi kuyaacha juu maana huleta maambukizi mapya kwa mifugo wazungukao hilo eneo.