Hebu tucheke wote, tuambie dada alikua analalamika ninihatari na nusu leo nmepishana na mmoja kwenye dala dala jamaaa kamlipia nauli maana walikuwa ote ki haraka haraka inaonyesha wametoka gest,alivyomlipia nauli mwanaume alikuwa mbele mwanamke siti za nyuma alafu kamlipia nauli then kashuka bila kumuaga dada anaambiwa ushalipiwa nauli anauliza na nani,anaambiwa kishashuka dah maneno aliyokuwa anayatoa dala dala zma kicheko,nkajisemea kishaliwa mtu leo buree
Naona hukusikiliza wosia wa King Majuto.Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa wakibadilisha wanawake kama nguo unakuta mwanaume mmoja ana wanawake kama wote wamekuwa chanzo cha kueneza magonjwa. Wanajiona dunia ni yakwao kwakuwa wanaweza fanya chochote kwa kutumia pesa zao
Wanatumia mapungufu ya wanawake kupenda pesa ndo maan wanawatumia watakavyo. Wanawake pigeni kazi ukiwa na kipato chako ilo gari alilokuwa nalo utakuwa nalo nyumba sijui nn vyote vinatafutwa ukitafuta na kumtegemea mungu kwa Imani anakupa na unapata mwanaume wake mstaarabu mwenye hofu ya mungu
Heri kuwa na mwanaume masikini mwenye hofu ya mungu kuliko kuwa na mwanaume tajiri mweny hofu ya shetani anakuwa kama Bata maji Kila shimo la maji lazima atumbukize miguu alafu awaridhiki
Mimi nimepaki siku ya nne hii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...Eti Jero, jaman msione Watu Wana magari..Kuna muda mtu anakosa hela.ya mafuta...sembuse ya Kuhonga.
LOOOH salale
Teyari kesha tendwa pole sana! Njoo tu kwangu mm masikini wa uchumi wa kati!Kiukweli siwapendi wanaume wenye pesa awana utu kabisa wamejaa kiburi sana usaliti ,dharau Awana mapenzi ya dhati kabisa kwakuwa wanajiona wanauwezo wa kupata mwanamke yoyote wamtakaye wamekuwa wakibadilisha wanawake kama nguo unakuta mwanaume mmoja ana wanawake kama wote wamekuwa chanzo cha kueneza magonjwa. Wanajiona dunia ni yakwao kwakuwa wanaweza fanya chochote kwa kutumia pesa zao
Wanatumia mapungufu ya wanawake kupenda pesa ndo maan wanawatumia watakavyo. Wanawake pigeni kazi ukiwa na kipato chako ilo gari alilokuwa nalo utakuwa nalo nyumba sijui nn vyote vinatafutwa ukitafuta na kumtegemea mungu kwa Imani anakupa na unapata mwanaume wake mstaarabu mwenye hofu ya mungu
Heri kuwa na mwanaume masikini mwenye hofu ya mungu kuliko kuwa na mwanaume tajiri mweny hofu ya shetani anakuwa kama Bata maji Kila shimo la maji lazima atumbukize miguu alafu awaridhiki
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...yanatokeaMimi nimepaki siku ya nne hii
Nikitaka kutoka nafungua mlango wa nyumbani kwangu afu naipita Kama sioni nafungua Geti Dogo huyoooo naishia naanza kupiga miruzi kusimamisha boda boda
Sent using Jamii Forums mobile app
Anadhani kuwa na hela automatically..mtu ANAkuwa na Tabia zoote mbaya..alafu wasio na hela wanatabia nzuri..Hamna uhusiano kati ya kutokuwa na hela na kutokuwa na ukatili ,umalaya, utesaji wa wanawake and all that.
Sasa we jimix at your own risk.
Hyo jero Ni nauli sio hongo ....Sasa nimuache atembee kwa Muguu?[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]...yanatokea
Ila usihonge jero jamani ...khaaa
Doooh....umetisha Mkulungwa.
we msng ni nomareet inasemekana ushapigwa mashine kwenye kupewa nauli ukapewa jelo wakat mlikwenda na V8 ukajua utalamba laki(inasemekana lakini)[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
mndee😂 uzaighuta? Merry xmasWanaume wenye pesa zenu na magari kuna ujumbe wenu huku
CreditAnalystDoooh aiseee, Pole kwa yaliyokukuta.
Zamu yetu makapukuLeo na wale ambao hatuna hela tunatakwa.
Hahahah hao ndio malejendarihatari na nusu leo nmepishana na mmoja kwenye dala dala jamaaa kamlipia nauli maana walikuwa ote ki haraka haraka inaonyesha wametoka gest,alivyomlipia nauli mwanaume alikuwa mbele mwanamke siti za nyuma alafu kamlipia nauli then kashuka bila kumuaga dada anaambiwa ushalipiwa nauli anauliza na nani,anaambiwa kishashuka dah maneno aliyokuwa anayatoa dala dala zma kicheko,nkajisemea kishaliwa mtu leo buree
Nzaighuta vyedi mghoshi nihaha [emoji1787][emoji1787] merry Xmas na kwako pia mpenzimndee[emoji23] uzaighuta? Merry xmas
Amen, zumbe ni mwema...tizainjoy!Nzaighuta vyedi mghoshi nihaha [emoji1787][emoji1787] merry Xmas na kwako pia mpenzi
Zumbe Atogolwe [emoji120][emoji120]Amen, zumbe ni mwema...tizainjoy!