Sitaki wanaume wenye pesa

Wanabadilika kulingana na mazingira akimpata mwenye pesa anaanza kumuona kero ataka mcheza karate na akimpata mcheza karate gafla njaa inamshika anaanza kummiss mwenye pesa ila yote 9 tu mwenye pesa atashinda tu UNAIJUA NJAA UNAISIKIA WW
Apana chezea njaa kwakweli.

"Au nasema uongo Ndugu zangu"
 
 
Acha wivu wewe, niwe na pesa mingi halafu ujimilikishe peke yako... matumizi mabaya ya fedha.
 

Pole Bidada. Naona umevurugwa na ukavurugika kwelikweli. Bado haujaweza kuwatambua wanaume wenye pesa na wasio na pesa. Kwa ujumla bado hauyajui maisha.

Pesa ni kama silaha, unaweza kuitumia vibaya kwa ujambazi au kujilinda.

Tatizo lako ulikurupuka ukaingia kwa wahuni wa mjini wenye pesa zao ukidhani wanapenda demu kumbe wao ni kuchovya na kusepa. Haukutafuta mume kama mume mwenye pesa au asiye na pesa.

Inaenda klabu usiku unakutana na ma-play boy linakwambia nakupenda nawe unachukulia serious ulitegemea nini?

Kama hautobadilika utaendelea kuumizwa, na ukiolewa na asiyekuwa na pesa siku mkilala njaa na kuishi chumba kimoja ndio mtakula huko kupendana kwenu. Nawaambia hata hamu ya kupandana hamtaipata. Chezea njaa wewe.

Bado haujatuelewa wanaume, endelea kujifunza vinginevyo utaendelea kuumia.
 
Moyo wa mtu ni msitu.huwezi kujua kilichomo ndani yake.Mapenzi yameiumbwa kiajabu ajabu,unayempenda wewe yeye hakupendi anampenda mtu mwingine na huyo mtu mwingine hampendi anakupenda wewe na wewe humpendi,hayo ndiyo mapenzi mkuu!
 
UnaweZa ukawa ..huna hela.lakini Tabia yako Ni kutombea porini...wanafunzi na wale wanauuza elfu tatu tatu...Mpaka elfu mbili...

Sasa tutakuweka kundi gani?
Wewe Dada Mimi Tayari nimeshakupenda,huwa nafatilia michango yako humu nimeona wewe Ni hazina ya busara.
Naomba kama huna mpenzi humu If niwe mpenzi wako tafadhari.
Maana naona watu kadhaa humu Wana wapenzi.
Namaana mapenzi ya humu JfMMU.
Nimeomba hadharani Tena kwa nguvu ili uone aibu kunikataa.
 
Ila si ndio nyinyi mnataka wale wale waliotusua kimaisha!!.
Mwengine anaona ufahari kuolewa na mwenye pesa hata akiwa na umri wa babu yake.
Hasa umkute mwanamke mzuri halafu awe na chura. Alalala akimuona mwanaume ambaye hana pesa anamuona kama mtu wa ajabu tena asiye kuwa na akili ya kutafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…