Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,655
mwanaume suruali ndio yukoje?ungekuwa mwanaume usingefanya hivo wewe ni mwanaume suruali
ndo kama huyo mara moja tu nguvu kwishneymwanaume suruali ndio yukoje?

holy crap!

sijui kama ni ki2 gani kilitokea maana yaani nahisi kama ananighasighasi

<br / sio kweli na vile vile mimi sio mwanaume suruali wala mchafuzi

Mchafuzi tu wewe, sema ulitaka kuchovya tu basi.....
ndo kama huyo mara moja tu nguvu kwishney
Sasa umepatwa na nini, kama msichana wa watu kajitunza umemembeleza kaamua kukutunuku kosa lake ni nini? nakushauri mtafute muweke mambo sawa sababu atakuwa anajisikia vibaya sanasana, maybe hukuwa umempenda ulitamani akuvulie tu nguo, embu kuwa gentleman mfate muongee
<br / sio kweli na vile vile mimi sio mwanaume suruali wala mchafuzi
nini kilicho kuogopesha??