Sitaki tena nimuone

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,654
Hello jf nilikuwa na glfriend toka january had hiv sasa lakini nilipolala naye ama 2lipo sex naye sina hamu tena ya kumuona hata sim yake siipokei tena sijui ni nini tatizo naomba wanasaikojia mnishauri kuhusu

Ulichokuwa unakitafuta umeshakipata hakuna jipya hapo, mengine unayajua mwenyewe.

Ndio tabia za baadh ya wanaume hzo, mkuu tune yo mind kwa huyo girl kama kweli unampenda, na kwanini usipokee simu yake?

ungekuwa mwanaume usingefanya hivo wewe ni mwanaume suruali

tukushauri nini tena wakati ulikuwa unataka kulala naye tu???ungekuwa na mapenzi ya dhati kwake hata baada ya yote hayo ungeendelea kuwasiliana naye...vijana wa siku hizi mnanitia hasira kweli notion ya mapenzi ya dhati haipo kabisa mioyoni/vichwani mwenu.....

Mmmmh hii falsafa kali, yaaani umempendaaaaa weee hadi akakupa, then unamchukia, nadhani hujui tofauti ya kupenda na kutamani...sema ulikua unamtamani, bint kajitunza wee ukambembeleza bint kakuonea huruma asa ivi unakuja kutueleza mambo gani hapa? hivi huu ugirlfriend na uboifrendi umetoka wapi enzi hizi? Mungu atusaidie otherwise wanetu watakwisha, sina cha kukushauri maana hako kabinti nikadenti, labda ujipeleke polisi ukajisalimishe

Ulienda na mategemeo makubwa na ulivyokuwa unafikiria kabla ya kusex na baada ya kusex umeona tofauti ndiyo maana unaonakama vile ulikosea njia.Lakini tune akili yako kuwa naye karibu mara kwa mara then utarudisha moyo na hamu kwake.

sijui kama ni ki2 gani kilitokea maana yaani nahisi kama ananighasighasi

Mchafuzi tu wewe, sema ulitaka kuchovya tu basi.....

<br / sio kweli na vile vile mimi sio mwanaume suruali wala mchafuzi

ndo kama huyo mara moja tu nguvu kwishney

Bebii kwani kasema tatizo ni nguvu? Mimi nimeelewa kuwa hana hamu tu ya kuendelea naye. Sasa tatizo kawa too brief... Yawezekana kuna kitu alikutana nacho na hakukitarajia then kikamuudhi.... Aweke maelezo ya kutosha maana haya mambo yapo unaweza kufuatilia mtu weeeeee then siku ya siku ukaishia kujuta kutokana na matarajio yako kutokutimizwa

<br / sio kweli na vile vile mimi sio mwanaume suruali wala mchafuzi
Sasa umepatwa na nini, kama msichana wa watu kajitunza umemembeleza kaamua kukutunuku kosa lake ni nini? nakushauri mtafute muweke mambo sawa sababu atakuwa anajisikia vibaya sanasana, maybe hukuwa umempenda ulitamani akuvulie tu nguo, embu kuwa gentleman mfate muongee

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom