Sitaki tena nimuone

Pamoja na kwamba issue yenyewe inawakera sana akina mama, lakini hili suala huwatokea sana wanaume. Kwa uzoefu wangu wa kuanzia enzi zile tunajifunza kujenga vijumba vya makuti ...na kujifanya baba na mama....haya mambo ni kawaida sana kutokea. Labda vijana wa dot com kama hawajawahi kusikia!! Ila huo ni ukweli na utabaki kuwa ukweli....

Ushauri wangu ni kwamba Apolinary...kaa mbali sana na huyo binti...ili upate nafasi ya kuona kama hisia kwake zinaweza kurudi. Kama hazitarudi basi usilazimishe kwa sababu utakuja kumuumiza sana huyo dada. Labda kwa sasa jitahidi kumuacha taratibu ili upunguze dozi ya maumivu.

Ukweli wa hili ni kwamba wanaume tunaongozwa na tamaa na ni mara chache sana kumpenda mwanamke...Ila tukipenda basi tena...tunakuwa zaidi ya wehu!
Ndio maana wadada kama sie tunaojua kukamatia huwa tunawalipizia wote wanaoonewa kama huyu wa jamaa. nahakikisha lazima unarudi kunitafuta utake usitake, tena vichwa ngumu mie ndio nawapenda sana hawa
 
Watu kama wewe wangekuwa wengi basi mgetusaidia....Mwanaume akimaliza project ya kwanza hutamani haraka haraka kuanza nyingine!!

Haya mambo ya kuendelea na project moja hadi kifo ni magumu sana...Kwetu sisi tunaoyafanya tunajua ugumu wake!!
 
Ndo maana nawaomba wadogo zangu, dada zangu na hata mama zangu waulewe na kuukubali ukweli ukweli hii...Wanaume wengi sana hupata taabu na hukosa majibu baada ya kuonja...Hawawezi kuamini kama walichokutana nacho kinalingana na investments walizozifanya wakati mwingine kwa muda mrefu.....

Sina hakika tunatokaje hapo..ila huo ndio ukweli mtakatifu (from men's perspectives)!!!
Mi nadhani chakufanya ni kukubaliana na matokeo....
Tatizo letu wanaume wakati mwingine kumueleza mapungufu mwanamke ili arekebishe au mulekebishe inakuwa shida
kwanza tunafikiria reaction
na tunadhani itakuwa ni humiliation
Then unaamua kusepa/timka, kumbe ni kitu kingeweza kuzungumzika na kuwekwa sawa
Then ukaenjoy kama ulivyokuwa unafikiri kabla ya kula hilo tunda..
 
Ndio maana wadada kama sie tunaojua kukamatia huwa tunawalipizia wote wanaoonewa kama huyu wa jamaa. nahakikisha lazima unarudi kunitafuta utake usitake, tena vichwa ngumu mie ndio nawapenda sana hawa

BB haya maneno yako kwa kweli yanatisha ... ni kama nataka kukuelewa au sikuelewi kivile... unamaanisha nini wa kwetu?
 
Hello jf nilikuwa na glfriend toka january had hiv sasa lakini nilipolala naye ama 2lipo sex naye sina hamu tena ya kumuona hata sim yake siipokei tena sijui ni nini tatizo naomba wanasaikojia mnishauri kuhusu
<br />
<br />
 
Mi nadhani chakufanya ni kukubaliana na matokeo....
Tatizo letu wanaume wakati mwingine kumueleza mapungufu mwanamke ili arekebishe au mulekebishe inakuwa shida
kwanza tunafikiria reaction

na tunadhani itakuwa ni humiliation
Then unaamua kusepa/timka, kumbe ni kitu kingeweza kuzungumzika na kuwekwa sawa
Then ukaenjoy kama ulivyokuwa unafikiri kabla ya kula hilo tunda..

Mkuu Elia,

Karibu tena (tunasubiri zawadi kutoka kwa first lady wa uhakika)!!!

Hilo suala siyo rahisi kiasi hicho, kwamba unaweza kuanza kumueleza mtu mapungufu yake...na endapo mmekutana mara ya kwanza (hii ni kwa wote He and She). Ila ninaloongelea mimi halihusiani na kumkimbia mwanamke kwa sababu ya matatizo yoyote katika suala la mapenzi.

Naongelea nature ya mwanamume kuhisi kapata hasara sana au kahangaika sana kutafuta kitu ambacho labda siyo cha thamani ki vile baada ya kupata dozi ya kwanza...Ni tatizo ambalo huwakuta wanaume wengi sana.

Ndo maana wanaume wengi wakimaliza tu...wanakumbuka mambo yao (ya maana) ambayo waliyaweka pembeni kabla ya kuanza mambo hayo ya ngono...Hili husababisha kutoeleweka kwa wanawake ....mfano baada tu ya kumaliza tendo la ndoa...yaani ndani ya dakika moja tu,...jamaa anaanza kuaga na kueleza list ya vitu ambavyo alipanga kuvifanya siku hiyo..Au umuhimu wa kuwahi kwa mke wake!!
 
...hauna lolote fataki mkubwa,ulichokuwa ukitafuta ni bikla, umeikosa roho imetumbukia nyongo!
 
dat z hw u r most of nyie wanaume,.. mkipata 2 mwakimbia. not gud at ol,,, true luv z 4m the heart n not afta somethng n leave.
 
Hao ndio wanaume...msikibilie kuwapa mali zenu labda kama inatokea mtu hutajali ili mradi na wewe umeongeza idadi kwenye list yako!!!!

Ni lazima mwanamume ale kwa jasho lake ili ajue thamani ya chakula!!
 
Ni lazima mwanamume ale kwa jasho lake ili ajue thamani ya chakula!!,,. @ Dark city NI KWELI KABISA,.. wanaopata kirahic ndo matatzo kama hayo.,,
 
Wakuu huyu jamaa kuna 'issue' hapa anajaribu kuileta kwetu. Binafsi nilishaisikia jambo kama hili kwa mwanaume wmingine na mwanzoni sikumuelewa ila baada ya kuongea naye sana nilikuja kujua nini hasa kilichojiri hata akapoteza stimu kwa gf wake. Baada ya kuongea naye sana niligundua kuwa kulikuwa na mambo makuu mawili.

.........mosi ni kwamba pamoja na msichana kuwa na umbo zuri na mwonekano wa nje mzuri, bado alikuwa natatizo moja kubwa ambalo jamaa alipokutana nalo alipoteza kabisa hamu ya kuendelea kuwa naye, .......nalo ni kwamba 'maumbile' ya msichana hayakuwa mazuri. Ni kama vile 'mashine' ya yule mdada ilikuwa 'overused' kiasi kwamba ilikuwa kubwa sana kiasi kwamba kuna wakati jamaa haukuweza kujua kama 'viungo' vyao vya uzazi vilikuwa vimekutanishwa ktk tendo la ngono.

.........pili maungo ya uzazi ya msichana yalikuwa yana hali ya majimaji kupita kiasi. Jamaa alidai mara baada ya kufikia kilele cha kamchezo, kitanda kilikuwa kama vile kimelowa mkojo. Ilibidi afanye usafi baada ya 'mgeni' kuondoka.

.........tatu, msichana alikuwa na harufu kali ingawa kwa hili nilimwambia kuwa linaweza kuondoka kwa kutumia dawa.

Sasa ukiangalia maeneo haya matatu, hasa hayo mawili ya mwanzo ni wazi kuwa jamaa hakutegemea kama angekuta hiyo hali hivyo akawa 'steamed off'. Kwa sisi wanaume huwa tuna mategemeo yetu kwa ladies, na mara tunapoyakuta huwa tunawaganda sana wadada kwa kuwa ndio maeneo ambayo kwayo tunapata faraja ktk mahusiano.

USHAURI
Jamani kina dada, jitahidini sana kujitunza hasa hayo 'maeneo' yenu ni muhimu sana. Unaweza ukawa mzuri sana kwa nje lakini eleweni kuwa 'quality' yenu kubwa ni 'the weapon' you have regardless of your phenotype. Kuna mada jana iliwekwa juu ya kumfanya mwanaume avutiwe nawe muda wote. Wengi mlichangia na kukubaliana na ile thread. lakini nawaambia hata umvutie vipi men wako, kama 'mashine' yako ni hovyohovyo ujue utaachwa tu, if not married, au utakuwa na mwenzio, kama mashine yako ni oversize au exceedingly watery.

.................nilikuwa napita tu wakuu!
 
Ingawa sehemu nyingine umetumia maneno makali (naamini wadada watakusamehe) ila umeongea ukweli mtupu ambao nimekuwa nikiwaeleza hawa wadogo/dada zangu na mama zetu!!

Mwanamume anahangaishwa na kitu kimoja tu....sex ya kumtosha...Akiipata hiyo, vitu vingine anaweza ku-comprimise!!

Nitarudi tena baadaye kuchungulia......!!!!
 
Hello jf nilikuwa na glfriend toka january had hiv sasa lakini nilipolala naye ama 2lipo sex naye sina hamu tena ya kumuona hata sim yake siipokei tena sijui ni nini tatizo naomba wanasaikojia mnishauri kuhusu
<br />
<br />
Watu wengine bana,wewe ndio uliyemmega na uzuri au ubaya unaujua wewe sasa unataka sisi tuseme nini?anatoa harufu ya uvundo au......?
 
Mkuu Elia,

Karibu tena (tunasubiri zawadi kutoka kwa first lady wa uhakika)!!!

Hilo suala siyo rahisi kiasi hicho, kwamba unaweza kuanza kumueleza mtu mapungufu yake...na endapo mmekutana mara ya kwanza (hii ni kwa wote He and She). Ila ninaloongelea mimi halihusiani na kumkimbia mwanamke kwa sababu ya matatizo yoyote katika suala la mapenzi.

Naongelea nature ya mwanamume kuhisi kapata hasara sana au kahangaika sana kutafuta kitu ambacho labda siyo cha thamani ki vile baada ya kupata dozi ya kwanza...Ni tatizo ambalo huwakuta wanaume wengi sana.

Ndo maana wanaume wengi wakimaliza tu...wanakumbuka mambo yao (ya maana) ambayo waliyaweka pembeni kabla ya kuanza mambo hayo ya ngono...Hili husababisha kutoeleweka kwa wanawake ....mfano baada tu ya kumaliza tendo la ndoa...yaani ndani ya dakika moja tu,...jamaa anaanza kuaga na kueleza list ya vitu ambavyo alipanga kuvifanya siku hiyo..Au umuhimu wa kuwahi kwa mke wake!!
DC! Nimerudi nazo, ila watu wamezifakamia siku ya bd yangu. but pakaccha halijatupwa bado
Back to topic: You are right DC, na ndyoko kamalizia vizuri sana nimemuelewa na ladies should read that
 
Back
Top Bottom