Bbade
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 6,740
- 21,874
Wakati nasubiria wifi sealed, kumbe umeshaanza kucharuka?hahahaa ...."" mkuu" "hata mimi mwenyewe mademu bikira kwakweli hapana "" acha watumike kwanza ""
wanakera mnooo
Wakati nasubiria wifi sealed, kumbe umeshaanza kucharuka?hahahaa ...."" mkuu" "hata mimi mwenyewe mademu bikira kwakweli hapana "" acha watumike kwanza ""
wanakera mnooo
Sasa unaposema ukiwatongoza wasikukubalie watajuaje kuwa ni wewe ambaye hupendi bikraPicha haiusu kabsa mada
Wapo wanaowahitaji, nikipata nitawelekeza kwaoNi kweli ni shida wala huinjoi.Nilimpata msichana tena mkubwa tu anakinionya mapema nikasema hapahapa ndio penyewe,kidogo niitiwe polisi na huo ulikuwa mwisho wa mahusiano yetu,yaani SITAKI hata kuwasikia
Itakuwa ligue ya UEFA champions cup imemshinda wakat wa uzinduzi wa papuchiKwani nini kimekupata??
Yan Mkuu naisi wanakuwa wanajitoa ufahamu maaana ata umuandae kiasi gani nilazima utapata tabu tena meno yake yatakuwa ya Mbwa koko [emoji56] [emoji56]Muandae usimuandae lakini mkifika anasahau kama ameandaliwa.
Uamuzi wangu hautabadilika, unajua nilikuwa nasikia tu kuwa huwa niwasumbufu, nikawa nalilia sana hio nafasi niipate ili kujenga heshima ya mwanaume, muomba Mungu hachoki hadi apate hatimae nikampata, ni kama last month ivi, nimetumia lugha zote za kimahaba kiukweli aligea sana kwenye maongezi akaonekana muitaji mkubwa.Yan Mkuu naisi wanakuwa wanajitoa ufahamu maaana ata umuandae kiasi gani nilazima utapata tabu tena meno yake yatakuwa ya Mbwa koko [emoji56] [emoji56]
Juzi kati JF ikawa imeshikiliwa na wasiojulikana,, nilikuwa napatwa na homa za vipindi balaa[emoji2] [emoji2] JF kwangu ni tiba tosha.Jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uish milele
Mhhhh!!! mara hii unaendea sabuni bafuni?Mh Mwenyekiti naomba ruhusa nimepata udhuru wa haraka hapa
Hii dunia ina mambo, wapo wanaopenda sana kutumia nguvu popote pale haijalishi. Tupo tunaopenda kutumia akili nyingi halafu nguvu kidogo kama unamsukuma mlevi. Kweli bana zoezi la kumtoa msichana bikra siyo la siku moja. My cute wife nilimkuta akiwa na stara yake ya bikra, nilimtoa baada ya purukushani za mwezi mzima.Mlete mkuu.Huwa tunaenda nao polepole mpaka kunakuwa wazi.Si zoezi la siku 1 hapana.Ukienda speed siku ya 1 haji tena.Ila ukienda naye Kwa ufundi aaah hataelewa mashine imefumuliwaje anabaki kuchanganyikiwa tu