Sitaki tena mwanamke bikra

Sitaki tena mwanamke bikra

Iliwahi kunitokea demu alinikimbia mwezi nilimbembeleza sana siku alipokubali nilienda nae taratibu hadi akazoea zikaanza fujo demu ananifuata hadi myumbani anataka mchezo nilikuwa najilia tu hadi walapohama na familia yake lakin daa tukichat hadi leo ananiita mwalimu wake.
Sawa mkuu
 
Mwanaume wa kweli hapendi mteremko. Lazima upate usumbufu, Mateso na kero ktk kupata kitu kizuri(k). Mpaka cku Unakula, unakula kibabe.

Mimi nakubaliana na baadhi ya wachangiaji hapo, kuwa kama ukimwandaa kiakili na kimwili hakuna usumbufu. Tena usiwe na pupa ya siku moja.
Hakika atakuganda daima
Wacha wakatumike mimi ntafuata baadae
 
Ni kweli ni shida wala huinjoi.Nilimpata msichana tena mkubwa tu anakinionya mapema nikasema hapahapa ndio penyewe,kidogo niitiwe polisi na huo ulikuwa mwisho wa mahusiano yetu,yaani SITAKI hata kuwasikia
 
jamaa kalipia hotel 50000 chakula 30000, usafiri 10000 afute demu kaenda kumpania miguu, ajaambulia kitu, chezea bikra wewe, lazima uwakimbie mana sio kwa hasara hiyo
 
Back
Top Bottom