Wewe kama mfugaji,kuku wako wakipiga kelele usiku kuna jambo,lazima utoke nje uone kuna nini. Kelele za muungano ni dhahiri watz tumechoka na kitu hiki,bora tuwe na serikali tatu ikiwemo serikali yangu ya TANGANYIKA.
Sijawahi kuwa mtanganyika tangu nizaliwe wakati naishi TANGANYIKA,Mbona USA wanaishi na federal government?
Nahitaji tanganyika yangu! Mwenye busara tuungane kudai nchi yetu.