Sitaki nizae mtoto duniani!!

Sitaki nizae mtoto duniani!!

Mimi natumia p2 sitaki ujauzito maana itanichakaza na itanitoa kwenye soko.

bet networks shock GIF by BET.gif

P2 itakuchakaza zaidi maana sio njia ya uzazi wa mpango, nenda hospitali watakushauri vizuri .
 
Mwanzo ulisema umebadili jinsia kutoka kuwa mwanaume kuwa mwanamke na unafurahia maisha yako mapya
Screenshot_20260912-204050.png

.
Baadae ukaja kutangaza siku yako ya mwisho kuishi duniani. Na ukaja kuaga wanaJF
Screenshot_20260912-204117.png

.
Hatujakaa vizuri sijui ulighairi kufa, ukaja ukasema kwa mara ya kwanza umesuguliwa vizuri na ukuni hadi ukafika kileleni
Screenshot_20260912-204201.png

.
Leo unakuja tena kusema hutaki kuleta mtoto duniani. Kwani ulivyobadili jinsia wamekuwekea na mfumo wa uzazi wa mwanamke
Unafaidika nini kuragebait watu JF?

Mara mia hawa wa multiple IDs kuliko huu upuuzi unaoufanya
 
Mwanzo ulisema umebadili jinsia kutoka kuwa mwanaume kuwa mwanamke na unafurahia maisha yako mapya
View attachment 3669276
.
Baadae ukaja kutangaza siku yako ya mwisho kuishi duniani. Na ukaja kuaga wanaJF
View attachment 3669277
.
Hatujakaa vizuri sijui ulighairi kufa, ukaja ukasema kwa mara ya kwanza umesuguliwa vizuri na ukuni hadi ukafika kileleni
View attachment 3669278
.
Leo unakuja tena kusema hutaki kuleta mtoto duniani. Kwani ulivyobadili jinsia wamekuwekea na mfumo wa uzazi wa mwanamke
Unafaidika nini kuragebait watu JF?

Mara mia hawa wa multiple IDs kuliko huu upuuzi unaoufanya
Alidhani amelogin kwa 🆔 nyingine kumbe ndo ile ile. Isivyobahati hawezi kufuta Uzi.

Nacheka kwa dharau HAHAHA! 😂
 
Hakuna mwanamke hapa! Uwezekano upo mkubwa ni mwanaume mwenye hulka za kike
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom