[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125][emoji125]
kwa mtu uliemwelewa haipaswi usubiri matokeo yake unaeza mkosa bure.Sasa unakubalije mara moja, kama alikuwa anatania je? Bahati mbaya baharia hawezi kusema nilikuwa natania
ana chura matata sanaAna chura?
Hahahaaaaa aiseee uko kama mm mambo ya kunembeleza demu mwez mzima siwez akikataa basi ndo imetoka hiyo nikijitahid sanaaa bas atapata salam kuna mmoja nilikuwa nae ofcn nkamtongoza kakataa mi nkampotezea mazima nimekuja kuhamishiwa mkoa mwingine ndo message hazikauki mara nimekumiss siku moja nkamtolea uvivu ndo anasema ooohhh ww kukujibu vile tu ndo ukaamua kunipotezea mazima lkn mm nakupenda..shenzi taipuuuuNatumai hamjambo wakuu.
Kwenu wadada, ukishajua mwanaume unamtaka akikutongoza usilete mambo ya sitaki nataka coz sie wengine hatujuagi kutongoza kwa kubembeleza...
Wiki ilopita nilimtongoza mrembo fulani ambae ni rafikie dada mmoja tunaefahamiana, alinambia haiwezekani nami nikampotezea sikumtafuta tena...
Sasa jana nimekutana na huyo dada ninaefahamiana nae akaniuliza, mbona fulani analalamika umemchunia? nikamwambia alisema haiwezekani nikaona isiwe tabu, akanambia hapana alisema hivo ili usimuone mrahisi, nikamwambia basi ntamtafuta...
Wenye tabia hii nadhani ujumbe umefika.
jana nimekula mkuu, alafu mtam kweliWe mtafute upige paipu tu baharia