Sitaki kuwa sehemu ya takwimu...

Lizy, nimeogopeshwa na huruma na moyo wa kujitolea wa Nyani... halafu nahofia kama nitaweza kumudu utawala wa manyani wa kudandia miti wapendavyo... hakuna mipaka kule na ukimwi huu nitapona kweli?

Annina

Huyu Nyani wa Kisasa, utamfungia ndani dear. Mpe nafasi. Ninamfahamu ni mtu poa sana u will never regret kuwa naye zaidi utasikitika kwa nn hukumfahamu mapema :)
 
Lizy, ndio maana nimesema kuna deadline ya tar 13! Tukirudi kwenye no 3 namaanisha nikiolewa sitapenda kuwa kwenye hilo kundi... hata Geoff nilikuwa nafanya mapitio ya proposal yake sio kwamba imepita - kikwazo kimojawapo ni hicho kwamba ni mtarajiwa.

Annina

Samahani kidogo..kuuliza sio ujinga siajabu sijaelewa upo kwenye point gani...Check hapo nilipo weka alama nyekundu...??Nadhanii mkuu Geoff karibu anataka kupata jiko then unasema kwamba unaweza kuwa mtarajiwa,una maanisha nini hapo?Sorry kwa hili swali!!!
 
Kwa kusaidia ni kwamba, kama Geoff asingekuwa mtarajiwa basi ange***** Annina njoo hapa umalizie sentensi pleeeaseeee
 
Papizo, nilimaanisha kikwazo Geoff ni mtarajiwa, tupo pamoja? Nilikuwa namjibu Lizy kama umesoma post zake. kwa taarifa tu Lizy ni campaign manager wa nyani kwa sasa... naona ruzuku imeshatoka kaanza kazi kwa kasi ya ajabu!

Asante sana,

Annina
 
Ngoshwe, u r always like that, thank you!

Annina

Not alway like that bana, uliniona jana lakini??hukuweza kutofautisha ma appearance ya leo na siku ya mziko ya mh. Mc Lema? na pia ile ya Mhe. Ka......w....a....w...a?.

Cha msingi Annina, don't preach wht you can't practice shosti. Hata mungu ukimwomba usimwombe kusaidia "kuikwepa dhambi" ambayo ushaitenda mara kibao na unaipenda kuendelea nayo kwa uwa inakufanya uwe "Aninna" hapa duniani!......Mwombe, ukimwomba akusaidie kuepukana na kutoa "tigo", umwombe pia akupe mtando mbadala kama voda ili uwe unatoa "voda jamaa kwa jaama wale unaotufahamu.

Ukitaka akuepushe na kutomnyanyasa mumeo, umwombe pia akupe mume "kiburi asiependa kunyanyasika" au awe mwenye kuinamisha "kichwa" (na maanisha kichwa..)chini muda wote. Au vinginevyo awe anajishughulisha kidogo manake akiwa vile tena hata ndoa yeyewe hutaipenda, sie tutakuja kutoa huduma hapo! .....ukiomba usiwe mwanamke msomi mwenye mbwembwe za kutojali familia, omba sass akupe hekima ya mwanamke msomi ambaye anajali, kuheshimu na kutatua matatizo au shida za marafiki wa mumeo kama akina Nyani na Ngoshwe pasipo kujali sura, dini, elimu, kabila, rangi wala asili yake. hapo utakuwa umemsaidia sana kuepukana na matatizo ya akina Nyani kuingilia ndoa yako!
 
Kwa kusaidia ni kwamba, kama Geoff asingekuwa mtarajiwa basi ange***** Annina njoo hapa umalizie sentensi pleeeaseeee

Thanks ndio nilikuwa sijaelewa vizuri ila nashukuru sana kwa msaada wako.....
 
Kwa kusaidia ni kwamba, kama Geoff asingekuwa mtarajiwa basi ange***** Annina njoo hapa umalizie sentensi pleeeaseeee

Jamani wee Lizy si uendelee kumwaga sera za mgombea wako... haya ya Geoff ya nini tena? si unajua mi ni cha wivu mambo ya kudumisha MILA nitayaweza wapi

Annina
 
Papizo, nilimaanisha kikwazo Geoff ni mtarajiwa, tupo pamoja? Nilikuwa namjibu Lizy kama umesoma post zake. kwa taarifa tu Lizy ni campaign manager wa nyani kwa sasa... naona ruzuku imeshatoka kaanza kazi kwa kasi ya ajabu!

Asante sana,

Annina

Ohh sawa sawa ndio hapo nilikuwa sijaelewa vizuri,ila asante kwa kunielewesha..!!
 
.....Hiyo twakimu ya wanawake wasomi wasioolewa huwezi kuingia shost, kuna wasomi wanaume wanatafuta wasomi wenzao wanawake. So don't worry about that!!
Cha msingi usiwe na maringo na usomi wako.

Points: kama mm(M) natafuta (F)
 
Not alway like that bana, uliniona jana lakini??hukuweza kutofautisha ma appearance ya leo na siku ya mziko ya mh. Mc Lema? na pia ile ya Mhe. Ka......w....a....w...a?.

Cha msingi Annina, don't preach wht you can't practice shosti. Hata mungu ukimwomba usimwombe kusaidia "kuikwepa dhambi" ambayo ushaitenda na unaipenda!......akikusaidia kuepukana na kutoa "tigo" umwmbe uwe unatoa "voda" (tandao wa jamaa kwa sana).

ukitaka akuepushe na kuto mnyanyasa mumeo, umwombe pia akupe mume "kuburi asiependa kunyanyasika" au vinginevyo au anajishughulisha kidogo manake akiwa vile tena hata ndoa yeyewe hutaipenda .....ukimba usiwe mwanamke msomi mwenye mbwembwe za kutojali familia, omba akupe hekima ya mwanamke msomi ambaye anajali, kuheshimu na kutatua matatizo au shida za marafiki za mumeo pasipo kujali sura, dini, elimu, kabila, rangi wala asili yake. hapo pia utakuwa umemsaidia rafiki yangu Nyani!

Asante sana ngoshwe, ukitulia wewe ni kichwa! sikujua Nyani amejiandaa kiasi hiki na ana wanamtandao wa kumfikisha ikulu!

Annina
 
Papizo, nilimaanisha kikwazo Geoff ni mtarajiwa, tupo pamoja? Nilikuwa namjibu Lizy kama umesoma post zake. kwa taarifa tu Lizy ni campaign manager wa nyani kwa sasa... naona ruzuku imeshatoka kaanza kazi kwa kasi ya ajabu!

Asante sana,

Annina

Annina hapo kwenye red.

U never know, may be ni other way round (Ni campaign manager wako for Nyani).
 
Nyani, kama umeanza kuwakana wanamtandao wako mapema namna hii tutafika kweli?

Annina
 
Nyani, kama umeanza kuwakana wanamtandao wako mapema namna hii tutafika kweli?

Annina

Hajanikana hata kidogo, kasisitiza "mimi sijamteua ,Lizy .yy kashtukia hisia zangu kwako mapema zaidi .. "

hapo kwenye Red, kweli kabisa, Ninamfahamu Nyani mtu poa sana, Nimekuambia utasikitika tu kwa nini hukumfahamu mapema zaidi, hata hivyo hujachelewa bado shosti, tena una bahati wewe lol!
 
sijamkana Lizy niko pamoja naye.hope unatupata fresh.mi npo single then sijawahi test line ya sim na sitaki hope line yako haijatestiwa.
 
Hajanikana hata kidogo, kasisitiza "mimi sijamteua ,Lizy .yy kashtukia hisia zangu kwako mapema zaidi .. "

hapo kwenye Red, kweli kabisa, Ninamfahamu Nyani mtu poa sana, Nimekuambia utasikitika tu kwa nini hukumfahamu mapema zaidi, hata hivyo hujachelewa bado shosti, tena una bahati wewe lol!

Lizy,nimeamini ruzuku inafanya kazi!

Annina
 
sijamkana Lizy niko pamoja naye.hope unatupata fresh.mi npo single then sijawahi test mtandao wa sm na sitaki .hope hata ww upo salama
 
Ukiwa serious ni PM au M - PM Nyani ambaye atakuwa ucingizini kwa caa za afrika masharika na Kati, Sina shaka Gef nae vivyo hivyo (R.IP kwa muda) (joke).

Haya ya kukata shauri kuwa Mke wa mtu hayahitaji usomi!.....,(jando na unyago wamekisha ondoa, sasa ni userikali za mitaa, udiwani,ubunge na u Presd....ndi mafunzo kidogo.)...kudadadeki, kumbe nyani upo?
 
Bado natafakari neno...

Annina

Unachotafakari hapo ni nini tena dear? kwamba hataki kutest 'line'? Kwani wewe ungetaka 'atest'? hahahaha, joke dear, though...........

Mkubalie mwenzio jamani mweh, ubembelezweje jamani. Ukishikwa shikamana.
 
Back
Top Bottom