Najitahidi kwa uwezo niliopewa na Mungu pamoja na sala za kila siku ili nisiingie kwenye takwimu za:Orodha ni ndefu, kwa leo hayo yanatosha, karibuni tuchangie.
- Wanawake wasomi wasioolewa
- Wanawake wanaotoa tigo
- Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao
- Wanawake wanaonyanyasa waume zao
- Wanawake wanaoishi kwa mifuko ya waume zao
Asante sana,
Annina
Sasa we upoje, single au hujaolewa??. Unaishije bila kutoa tigo, huna mawasiliano na wenzio, unapatikanaje sasa manake Tigo ndo mtandao rahisi??? usipo tegemea mfuko wa mumeo, huo mfuko unataka asishike nani, manake hata nguo zake hutafua...kama si mwanamke unayetoka nje ya ndoa, yaani we utakuwa "in house" kila siku hata huwezi kujitafutia ka mchicha...Unataka yote afanye "house girl"...???.Usipo mnyanyasa mumeo utakuwa unalala mtu kama mwanamke wa ki.....cha......ga.....(hufurukuti hataaa)??
Najitahidi kwa uwezo niliopewa na Mungu pamoja na sala za kila siku ili nisiingie kwenye takwimu za:Orodha ni ndefu, kwa leo hayo yanatosha, karibuni tuchangie.
- Wanawake wasomi wasioolewa
- Wanawake wanaotoa tigo
- Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao
- Wanawake wanaonyanyasa waume zao
- Wanawake wanaoishi kwa mifuko ya waume zao
Asante sana,
Annina
dada ina maana upo single? wait niku PM ,usiwe na wasi kabisa kama umetulia sio kicheche tutaendana
Asante Nyani, kwa sasa nafanya "review" ya proposal ya Geoff ya kudumisha nae MILA! tarehe 13 bado... Jina lako pia linanitisha, nitaweza utawala wa manyani kweli wa kila mmoja kudandia mti anaoupenda???
Asante sana,
Annina
kabla hatujaendelea zaidi, hebu tupe msimamo wako.
Namaanisha mpaka sasa umesimamia wapi? katika hiyo orodha hapo juu, wewe mwenzetu unasimamia wapi?
Heee!kumbe ww ndo umedanganywa ng geof?..hana lolote anakusanya michango tu hapa then anadisappear.sorry lakini kwa kumponda ila ukweli ndio huo
Asante Nyani, kwa sasa nafanya "review" ya proposal ya Geoff ya kudumisha nae MILA! tarehe 13 bado... Jina lako pia linanitisha, nitaweza utawala wa manyani kweli wa kila mmoja kudandia mti anaoupenda???
Asante sana,
Annina
Annina sasa unachanganya habari, hapa 3.Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao : Kumbe ni ruksa kuwa Mwanamke unayeenda kwenye ndoa za wenzako/ cause Geoff ni Mume wa mtu mtarajiwa, unless ww ndo Bibi harusi mtarajiwa wa Geoff, vinginevyo Shosti mh....... Kazi ipo
.....Hiyo twakimu ya wanawake wasomi wasioolewa huwezi kuingia shost, kuna wasomi wanaume wanatafuta wasomi wenzao wanawake. So don't worry about that!!
Cha msingi usiwe na maringo na usomi wako.
Mimi ni msomi, sijaolewa (nipo kwa mchakato na Geoff wa kudumisha MILA..., lakini nasikia kuna deadline ya tar 13 ndio naishiwa nguvu kabisa)yaliyobaki simo! Umenisoma Lizy?
Annina
Nyani asante kwa taarifa, ndio maana nikasema sitaki kuwa sehemu ya takwimu... kwa kuongezea tu sitaki kuwa sehemu ya takwimu za kudumisha MILA tu halafu namwagwa - nadhani hii inaangukia kwenye no 1 ya list yangu pale juu.
Asante kwa huruma ya mamba!
Annina
Nimekusoma Annina, sasa mbona unambania 'nyani<abiziani>' jamani, na yeye atafuta 'mchumba msomi'?