Sitaki kuwa sehemu ya takwimu...

Annina

JF-Expert Member
Nov 15, 2009
437
57
Najitahidi kwa uwezo niliopewa na Mungu pamoja na sala za kila siku ili nisiingie kwenye takwimu za:
  1. Wanawake wasomi wasioolewa
  2. Wanawake wanaotoa tigo
  3. Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao
  4. Wanawake wanaonyanyasa waume zao
  5. Wanawake wanaoishi kwa mifuko ya waume zao
Orodha ni ndefu, kwa leo hayo yanatosha, karibuni tuchangie.

Asante sana,

Good luck Shosty, though.
 
Sasa we upoje, single au hujaolewa??. Unaishije bila kutoa tigo, huna mawasiliano na wenzio, unapatikanaje sasa manake Tigo ndo mtandao rahisi??? usipo tegemea mfuko wa mumeo, huo mfuko unataka asishike nani, manake hata nguo zake hutafua...kama si mwanamke unayetoka nje ya ndoa, yaani we utakuwa "in house" kila siku hata huwezi kujitafutia ka mchicha...Unataka yote afanye "house girl"...???.Usipo mnyanyasa mumeo utakuwa unalala mtu kama mwanamke wa ki.....cha......ga.....(hufurukuti hataaa)??
 
Dah, Ngoshwe umepinda wewe.
 
dada ina maana upo single? wait niku PM ,usiwe na wasi kabisa kama umetulia sio kicheche tutaendana
 
Najitahidi kwa uwezo niliopewa na Mungu pamoja na sala za kila siku ili nisiingie kwenye takwimu za:
  1. Wanawake wasomi wasioolewa
  2. Wanawake wanaotoa tigo
  3. Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao
  4. Wanawake wanaonyanyasa waume zao
  5. Wanawake wanaoishi kwa mifuko ya waume zao
Orodha ni ndefu, kwa leo hayo yanatosha, karibuni tuchangie.

Asante sana,

Annina

kabla hatujaendelea zaidi, hebu tupe msimamo wako.

Namaanisha mpaka sasa umesimamia wapi? katika hiyo orodha hapo juu, wewe mwenzetu unasimamia wapi?
 
dada ina maana upo single? wait niku PM ,usiwe na wasi kabisa kama umetulia sio kicheche tutaendana

Asante Nyani, kwa sasa nafanya "review" ya proposal ya Geoff ya kudumisha nae MILA! tarehe 13 bado... Jina lako pia linanitisha, nitaweza utawala wa manyani kweli wa kila mmoja kudandia mti anaoupenda???

Heee!kumbe ww ndo umedanganywa ng geof?..hana lolote anakusanya michango tu hapa then anadisappear.sorry lakini kwa kumponda ila ukweli ndio huo
 
kabla hatujaendelea zaidi, hebu tupe msimamo wako.

Namaanisha mpaka sasa umesimamia wapi? katika hiyo orodha hapo juu, wewe mwenzetu unasimamia wapi?

Mimi ni msomi, sijaolewa (nipo kwa mchakato na Geoff wa kudumisha MILA..., lakini nasikia kuna deadline ya tar 13 ndio naishiwa nguvu kabisa)yaliyobaki simo! Umenisoma Lizy?

Annina
 
Heee!kumbe ww ndo umedanganywa ng geof?..hana lolote anakusanya michango tu hapa then anadisappear.sorry lakini kwa kumponda ila ukweli ndio huo

Nyani asante kwa taarifa, ndio maana nikasema sitaki kuwa sehemu ya takwimu... kwa kuongezea tu sitaki kuwa sehemu ya takwimu za kudumisha MILA tu halafu namwagwa - nadhani hii inaangukia kwenye no 1 ya list yangu pale juu.

Asante kwa huruma ya mamba!

Annina
 
Asante Nyani, kwa sasa nafanya "review" ya proposal ya Geoff ya kudumisha nae MILA! tarehe 13 bado... Jina lako pia linanitisha, nitaweza utawala wa manyani kweli wa kila mmoja kudandia mti anaoupenda???

Asante sana,

Annina

Annina sasa unachanganya habari, hapa 3.Wanawake wanaotoka nje ya ndoa zao : Kumbe ni ruksa kuwa Mwanamke unayeenda kwenye ndoa za wenzako/ cause Geoff ni Mume wa mtu mtarajiwa, unless ww ndo Bibi harusi mtarajiwa wa Geoff, vinginevyo Shosti mh....... Kazi ipo
 
.....Hiyo twakimu ya wanawake wasomi wasioolewa huwezi kuingia shost, kuna wasomi wanaume wanatafuta wasomi wenzao wanawake. So don't worry about that!!
Cha msingi usiwe na maringo na usomi wako.
 
Lizy, ndio maana nimesema kuna deadline ya tar 13! Tukirudi kwenye no 3 namaanisha nikiolewa sitapenda kuwa kwenye hilo kundi... hata Geoff nilikuwa nafanya mapitio ya proposal yake sio kwamba imepita - kikwazo kimojawapo ni hicho kwamba ni mtarajiwa.

Annina
 
.....Hiyo twakimu ya wanawake wasomi wasioolewa huwezi kuingia shost, kuna wasomi wanaume wanatafuta wasomi wenzao wanawake. So don't worry about that!!
Cha msingi usiwe na maringo na usomi wako.

Asante sana Pretty, nimeipenda avatar yako - u look happy!

Annina
 
Mimi ni msomi, sijaolewa (nipo kwa mchakato na Geoff wa kudumisha MILA..., lakini nasikia kuna deadline ya tar 13 ndio naishiwa nguvu kabisa)yaliyobaki simo! Umenisoma Lizy?

Annina

Nimekusoma Annina, sasa mbona unambania 'nyani<abiziani>' jamani, na yeye atafuta 'mchumba msomi'?
 
Nyani asante kwa taarifa, ndio maana nikasema sitaki kuwa sehemu ya takwimu... kwa kuongezea tu sitaki kuwa sehemu ya takwimu za kudumisha MILA tu halafu namwagwa - nadhani hii inaangukia kwenye no 1 ya list yangu pale juu.

Asante kwa huruma ya mamba!

Annina

Annina .najua huwezi kuwa kwenye hilo kundi lakini ujue ukishikwa shikamana, simaanishi kumegwa.hope u gotta me
 
Nimekusoma Annina, sasa mbona unambania 'nyani<abiziani>' jamani, na yeye atafuta 'mchumba msomi'?

Lizy, nimeogopeshwa na huruma na moyo wa kujitolea wa Nyani... halafu nahofia kama nitaweza kumudu utawala wa manyani wa kudandia miti wapendavyo... hakuna mipaka kule na ukimwi huu nitapona kweli?

Annina
 
Annina .najua huwezi kuwa kwenye hilo kundi lakini ujue ukishikwa shikamana, simaanishi kumegwa.hope u gotta me

Nyani, nakusoma, naona umemteua Lizy kuwa campaign manager wako! sasa mbona huimbi zile nyimbo za campaign?

Annina
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom