ulikuwa unasubir braVuka wapigwe 7-1 ndo ijitokeze?
mfyuuuuuuu
nimekumithi mpk nimekununia!

hahahaaa! aisee baadae sana! sina mpango wa kuoa wala wazo hilo halijaletwa wala halijaja kichwani mwangu..
bado nina modules nyingi sana kichwani zinasubiri kupitiwa sis!...
at 30 hujaolewa? halafu ukiulizwa unakasirika? hm! hm!
vipi kama ungekuwa huna ajira halafu ukaulizwa kama ushapata ama la? je ungekasirika?
kuna maswali mengine bhana yanastua, hata kama hayawahusu lakini ujue muda ndo huooo ushakutupa mkono!
Wasalaam wana MMU,
Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana . Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa? Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi", kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi?
Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi
2. Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda
3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa
4. Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa
5. Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion (ndoa sio fashion)
6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nope
Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.
XoXo
Ni kwelii kabisaa watu wanalilia ndoa wanashinda kwa wagangaa,ukweli hayupo ambae hapendi kuolewaaa yaa hayupo huaga wanajifariji tuuuu
Dinazarde usikariri my dia.....shukuru Mungu kwa vile ulimpata mwanaume wa ndoto zako....ndoa ni nzuri but only and only if ukimpata yule mbayependana kwa dhati.Ni kwelii kabisaa watu wanalilia ndoa wanashinda kwa wagangaa,ukweli hayupo ambae hapendi kuolewaaa yaa hayupo huaga wanajifariji tuuuu
hahahaaa! aisee baadae sana! sina mpango wa kuoa wala wazo hilo halijaletwa wala halijaja kichwani mwangu..
bado nina modules nyingi sana kichwani zinasubiri kupitiwa sis!...
at 30 hujaolewa? halafu ukiulizwa unakasirika? hm! hm!
vipi kama ungekuwa huna ajira halafu ukaulizwa kama ushapata ama la? je ungekasirika?
kuna maswali mengine bhana yanastua, hata kama hayawahusu lakini ujue muda ndo huooo ushakutupa mkono!
nimekuuliza tu kimtego
umebwabwaja utafikiri umewekewa morta khaaaaa
7.Sitaki kuolewa na mtu ambaye hana pesa aka mlalahoi.
Umenikunaaa!! heri wewe umeulizwa na shangazi mie kuna mtu kanifata kabisaa eti ananishauri umri unaenda mbona siolewi nilimtoa baruu kama paka mwizi .Wasalaam wana MMU,