Wasalaam wana MMU,
Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana . Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa? Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi", kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi?
Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi
2. Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda
3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa
4. Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa
5. Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion (ndoa sio fashion)
6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nope
Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.
XoXo[/QUOTE
To every action there is an equal and opposite reaction by Isaac Newton.............."Happiness in life means making others happy ".............olewa upate hiyo reward,lakini siku zote moyo unauma,just imagine >30 wanapiga tu na kusepa,we unafikiri hao wazazi wako hawaumii kama we unavyohisi unaumia?
daah!
daah!
Lisemwalo lipo!
Sioni kama kuna tatizo kuulizwa eti unaolewa lini, kumbuka na wewe ungeweza kuwatumia kiusahihi kwa huo muda waliokuuliza hilo swali...
Ina maana huna malengo yoyote/huna mchumba mpaka dakika hii?
In other words life is lived by the eyes and ears!Society always shapes us..weather we like it or not ..for good and bad..
kama haya ulioandika hapa yanatoka moyoni mwako na unamaanisha basi wewe unajitambuwa na ni mke bora kabisa hapa duniani. nimependa brain yako kudos.
Its good to have no one to blame in the future!Wasalaam wana MMU,
Yaani weekend yangu ya leo imeharibika sana . Leo nimepata simu toka kwa mama zangu wadogo wakihitaji wedding dress ya mdogo wangu ambaye anataraijia kuolewa hivi karibuni niwatumie Tz ,baada ya maongezi mada ika badilika nikapachikwa swali WE NAWE UNAOLEWA LINI?
Maana wadogo zako wote wanaolewa we bado upo tu unafikiria nini haswaa? Mwingine akadakia "Olewa basi uondoe japo mkosi", kha! This is too much... Hivi jamani kuolewa ni kutoa mkosi?
Msimamo wangu:
1. Sitaki kuolewa kwa kuondoa mkosi
2. Sitaki kuolewa kwa sababu eti umri unaenda
3. Sitaki kuolewa eti wadogo zangu wote wanaolewa
4. Sitaki kuolewa kuwalingishia watu kwa na mimi nimeolewa
5. Sitaki kuolewa ili nivae shela au pete za ndoa kama fashion (ndoa sio fashion)
6. Sitaki kuolewa eti umri unakwenda kwa hiyo yoyote atake kuja mbele yangu anioe tu kisa naingia 30 ....Nope
Ladies haya ni makosa makubwa sana ukiyaamua kwa kufuata maneno ya watu kisa hujaolewa....matokeo yake unaolewa mchana usiku unaachika ni kutojiamiani na maisha yako.
XoXo
we dogo usiombe!
nahitaji heading tu mengine ntajaziamo!
jana nilijikuta tu siwezi kufungua huu uzi!
ndo najiuliza waliniwuwa au nilijiwuwa?
Heaven on Earth najua huwezi kuacha niteseke
ukujeeeee
Umewasaidia na kuwapa confidence ma single ladies wote ambao umri umeenda na hamna kinachoeleweka... Yaweza kuwa njia moja ya kuondoa stress...
...kudos to all single ladies!!
Kuepuka hayo yote,oa ww
ulikuwa unasubir braVuka wapigwe 7-1 ndo ijitokeze?Wakati mwingine Wanawake wnanishangaza. Kwamba hawawezi kuolewa kwa sasa sababu kuna changamoto nyingi kwenye ndoa, kana kwamba huko baadae zitakwisha!!
ulikuwa unasubir braVuka wapigwe 7-1 ndo ijitokeze?
mfyuuuuuuu
nimekumithi mpk nimekununia!
e.henhenhenhe mwenzako hii sredi kila nikiiona title kidole gumbsa kinakata kiuno kuifata!
hahhahh si unajua humu ndo ndoto za zawadi zilipoyeyukia
siiiiiiina hamu na amu mimi!