lastman
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 402
- 226
Mimi bwana sitaki kuitwa nabii kwa hili kwa sababu nadhani kutokana na uongozi wa kifamilia, na tunaowaita wazee wa CCM wakati wa kutuchagulia rais.
Ila wakati taifa linaingia mikataba mibovu tunasahau kuna watu wazima kwa sababu mafungu ya chai yanafika.
Sasa kutokana na hila za wazee kumkata jaji, najua fika na nasema fika Bernard Membe, baba yake mdogo na Ridhiwani na mdogo wake J.Kikwete ndie Waziri mkuu anayefuata.
Gazeti la Mtanzania mwezi wa kwanza lilisema Magufuli ndo Rais na Paul Makonda kwenye bunge la Katiba alisema Samia Hassani ndio atakuwa Makamu wa Rais, na mimi nasema Benard Membe Waziri Mkuu iwapo serikali ya familia ya Kikwete Tanzania itapita.
Asante.
Team Jamiiforums