Mimi bwana sitaki kuitwa nabii kwa hili kwa sababu nadhani kutokana na uongozi wa kifamilia, na tunaowaita wazee wa CCM wakati wa kutuchagulia rais.
Ila wakati taifa linaingia mikataba mibovu tunasahau kuna watu wazima kwa sababu mafungu ya chai yanafika.
Sasa kutokana na hila za wazee kumkata jaji, na jua fika na nasema fika Bernard Membe, baba yake mdogo na Ridhiwani na mdogo wake J.Kikwete ndie Waziri mkuu anayefata.
Gazeti la Mtanzania mwezi wa kwanza lili sema magufuli ndo raisi, na Paul ,Makonda kwenye bunge la Katiba alisema Samia Hassani ndo atakuwa Makamu rais, na mimi na sema Benard Membe Waziri Mkuu iwapo serikali ya familia ya Kikwete Tanzania itapita.
Asante.
Team Jamiiforum